Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.

Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.

Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.

Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.

Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa anamhoji lisu alimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Masikini Tanzania.
 
Ukishasema Lisu ni bogas baaaasi.

Unakuwa huna akili, unafikili Kwa kuitumia matako.ukikaa na unakuwa umekalia akili,ukisimama na angalau zinarudi kidogo.

Lissu hawezi kuwa bogas kushindwa majinga majinga mengi yaliyojificha nyuma ya kijani
 
Back
Top Bottom