Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Afadhali na wewe umeona. Ila sasa, we unadhani tatizo ni nini,hebu tupe your take,kidogo tu.
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
umechochewa na mihemko au umekurupuka ukiwa na njaa kuandika haya ulioandika au umedisco nini, ukiwa unasoma miongoni mwa vyuo hivyo?

au hivyo vyuo ulivyo vitaja, wamekunyima ajira ya tutorial assistance nini baada ya kusota sana kitaa tangu umalize chuo?

au wamekunyima mkataba mwingine wa kufundisha kwasababu huenda unafundisha chini ya kiwango, maana maelezo yako dah, sijui kufundisha itakuaje:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
Brotha kama lisu ni bogas na anapambana kuonyesha umma wizi unaotekea serikalini wewe ni nani ,tunamjua lisu kuanzia sekeseke la Richmond Sasa hili la sukari akae kimya?,mikataba ya hovyo pia akae kimya wewe ambae sio bogas umefanya kipi?
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au...
We unaweza kuzani mtu ni bogasi kumbe bogasi ni wewe. Maswali kama ya kwenye Hard talk siyo maswali yote ya kujibu kwani kunakuwa na maswali mengi ysa mitego kwahiyo mengine unayakwepa kwa kujitoa ufahamu.
 
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Maskini tanzania.
1. Sujakuelewa hapo nilipobold.
2. Shida ya Wanafunzi wa SAUT, n.k imeandikwa wapi?
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.

Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.

Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.

Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.

Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Maskini tanzania.
Mbona sasa umeshindwa angalau kutuwekea quotation ya kile walichosema hao vijana. Unawalaumu vijana bure. Waache watumie uhuru wao kwa kaadri ya uelewa wao.
 
Back
Top Bottom