Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.

Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.

Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.

Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.

Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Maskini tanzania.
Ebu wewe mwenye akili tueleweshe kilicho tokea. Sasa wewe unataka waamini Nani kati ya Lissu na bashe?
 
Usifananinishe KIUT na vitu vya ajabu!!
Hao wanachuo wanaoshindwa kutoa analysis Kuhusu masuala ya siasa inategemea wanasoma au walisoma kozi gani! Haya mambo yanategemeana na career
Sasa mm lab tech Kila muda napima vinyeo na mikojo
Masuala ya mpina wapi na wapi

Tuacheni KIUT Alumni🙄
Ww ndo huna akili
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.

Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.

Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.

Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.

Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa anamhoji lisu alimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Masikini Tanzania.
You're right fellow brethren,tumezoea kulishwa kila kitu kuanzia information mpaka kwenye kufanya kazi. Watanzania wengi sio wasomaji vitabu,hawapendi kujiongeza binafsi bila kutegemea external factors. Mfumo wetu wa elimu kubadilika itakua ngumu sababu Kuna jamii flani hivi inafaidika sana watanzania wengi kua wajinga.

Imagine shule kama olympio,diamond za Dar na Arusha school ambazo mfumo wake upo English medium umesaidia sana wanafunzi wengi waliopitia shule hizo statistically wanafanya vizuri mtaani tofauti na shule nyengine za serikali. Mi natamani hizi shule za serikali English medium zenye ada kidogo ziwepo kila mkoa na ziwe hata mbili,kidogo kidogo mfumo wetu wa elimu utabadilika.
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.

Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.

Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.

Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.

Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa anamhoji lisu alimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Masikini Tanzania.
disaster
 
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.

Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.

Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.

Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.

Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.

Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.

Maskini tanzania.
Na hawana akili hili mimi nimesha lisema hili mara nyingi sana tuna tatizo kubwa sana la kupata watanzania wenye vichwa vizuri kufikiri
 
Hiyo ndio "faida" ya kuzuia mijadala vyuoni.
Vijana walikuwa wanapanua "reasoning capacity" ya mambo mbalimbali yanayohusu Taifa.
Nyie mkaona wanaiumbua CCM.
Badala yake tumetengeneza kizazi cha machawa na wabwatukaji.
 
Mwandiko wangu!?Mbona sijaandika kwa mkono.It's a very funny comment.Halafu baada ya ku-concentrate kwenye mada,una-comment nje ya mada,ndio maana wenzenu wanawanyambua.
Huna D hata moja, wewe na mtoa mada (au tuseme ID yako uliyoandikia thread na hii unayotumia kujiunga mkono) zina makosa mengi sana ya kiuandishi haupaswi kukosoa elimu yetu. Hapa tu umesea BAADA ukimaaniha BADALA
 
Natumia Smart Phone kwa hiyo si ajabu kukosea.Anyway ni hivii,quality ya elimu ya Tanzania hasa ya kwenu inafahamika,it is low,kwa hiyo hakuna haja kuitetea,na ndio maana kuna juhudi za kuboresha.
 
umechochewa na mihemko au umekurupuka ukiwa na njaa kuandika haya ulioandika au umedisco nini, ukiwa unasoma miongoni mwa vyuo hivyo?

au hivyo vyuo ulivyo vitaja, wamekunyima ajira ya tutorial assistance nini baada ya kusota sana kitaa tangu umalize chuo?

au wamekunyima mkataba mwingine wa kufundisha kwasababu huenda unafundisha chini ya kiwango, maana maelezo yako dah, sijui kufundisha itakuaje:pulpTRAVOLTA::pulpTRAVOLTA:
Mweleze ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!
 
Ukitaka olewa naye ila Lissu ni BOGAS in my eyes
Lissu ñi ishu nyingine kabisa! Kama mwendazake alitumia AK 47 kummaliza akashindwa, sio mchezo! Mwendazake Sasa Yuko kuzimu dadeki!
 
Back
Top Bottom