Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu wewe mwenye akili tueleweshe kilicho tokea. Sasa wewe unataka waamini Nani kati ya Lissu na bashe?Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.
Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.
Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Maskini tanzania.
Angalau sasa mada imewekwa vizuri.
Elewa Context basi
You're right fellow brethren,tumezoea kulishwa kila kitu kuanzia information mpaka kwenye kufanya kazi. Watanzania wengi sio wasomaji vitabu,hawapendi kujiongeza binafsi bila kutegemea external factors. Mfumo wetu wa elimu kubadilika itakua ngumu sababu Kuna jamii flani hivi inafaidika sana watanzania wengi kua wajinga.Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.
Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.
Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa anamhoji lisu alimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Masikini Tanzania.
disasterVijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.
Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.
Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa anamhoji lisu alimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Masikini Tanzania.
Na hawana akili hili mimi nimesha lisema hili mara nyingi sana tuna tatizo kubwa sana la kupata watanzania wenye vichwa vizuri kufikiriVijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.
Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.
Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa qnqmhoji lisu qlimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Maskini tanzania.
Mwandiko wangu!?Mbona sijaandika kwa mkono.It's a very funny comment.Halafu baada ya ku-concentrate kwenye mada,una-comment nje ya mada,ndio maana wenzenu wanawanyambua.Mwandiko wako unafanana na wa mleta mada
Huna D hata moja, wewe na mtoa mada (au tuseme ID yako uliyoandikia thread na hii unayotumia kujiunga mkono) zina makosa mengi sana ya kiuandishi haupaswi kukosoa elimu yetu. Hapa tu umesea BAADA ukimaaniha BADALAMwandiko wangu!?Mbona sijaandika kwa mkono.It's a very funny comment.Halafu baada ya ku-concentrate kwenye mada,una-comment nje ya mada,ndio maana wenzenu wanawanyambua.
Natumia Smart Phone kwa hiyo si ajabu kukosea.Anyway ni hivii,quality ya elimu ya Tanzania hasa ya kwenu inafahamika,it is low,kwa hiyo hakuna haja kuitetea,na ndio maana kuna juhudi za kuboresha.Huna D hata moja, wewe na mtoa mada (au tuseme ID yako uliyoandikia thread na hii unayotumia kujiunga mkono) zina makosa mengi sana ya kiuandishi haupaswi kukosoa elimu yetu. Hapa tu umesea BAADA ukimaaniha BADALA
Hakuna shida,maana unafikili Kwa kuitumia MATAKO.Mkuu Lissu ni BOGAS-
Na nyie Wanaume wengine kuweni Watamu Vitandani ili muwe mnatajwa tajwa kila mara hivi kama 'Mbanduaji' Mimi Tukuka sawa?Cc GENTAMYCINE the witch SAUT
Ukitaka olewa naye ila Lissu ni BOGAS in my eyesHakuna shida,maana unafikili Kwa kuitumia MATAKO.
Mabogas ni INZI WA KIJANI
Kabisa lo too much of anything is harmful
Mweleze ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!umechochewa na mihemko au umekurupuka ukiwa na njaa kuandika haya ulioandika au umedisco nini, ukiwa unasoma miongoni mwa vyuo hivyo?
au hivyo vyuo ulivyo vitaja, wamekunyima ajira ya tutorial assistance nini baada ya kusota sana kitaa tangu umalize chuo?
au wamekunyima mkataba mwingine wa kufundisha kwasababu huenda unafundisha chini ya kiwango, maana maelezo yako dah, sijui kufundisha itakuaje![]()
Lissu ñi ishu nyingine kabisa! Kama mwendazake alitumia AK 47 kummaliza akashindwa, sio mchezo! Mwendazake Sasa Yuko kuzimu dadeki!Ukitaka olewa naye ila Lissu ni BOGAS in my eyes