Kb Ulayaulaya
JF-Expert Member
- Jan 5, 2023
- 727
- 1,059
Mh,sibishani na mjinga.Ukitaka olewa naye ila Lissu ni BOGAS in my eyes
Endelea kukosa aman juu yake,make huwezimfanya chochote,bali utaishia kuwa na sonona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh,sibishani na mjinga.Ukitaka olewa naye ila Lissu ni BOGAS in my eyes
UNAUMWALissu ñi ishu nyingine kabisa! Kama mwendazake alitumia AK 47 kummaliza akashindwa, sio mchezo! Mwendazake Sasa Yuko kuzimu dadeki!
Kinachokufanya uwe na ufahamu sio Elimu ya darasani Bali aggressiveness Yako kutafuta maarifa ya jamii mtaani , kwenye vitabu na Kwa watu sahihi.Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo.
Angalia akina mdude wanavyoviandika au akina maria salungi hapo ndo utaona reasoning inavyodiminish kwa kasi.
Wanasubili tu leo lisu ataongea nini halafu wanaripoti kama lilivyo as if wao ni empty sets.
Hata magazeti wanaconclude kwa kusoma vichwa vya habari tu.
Ndo maana hata kwenye hard talk yule sucker alivyokuwa anamhoji lisu alimuona ni bogus anamuuliza hiki anajibu kile.
Masikini Tanzania.