Nimegundua kwamba Watanzania wengi hawana ufahamu kwenye mengi hasa vijana. Elimu inapaswa iangaliwe upya

Tatizo sio elimu. Ni hulka ya kujipatia maarifa mapya. Hata hivyo kuna maendeleo mazuri ukilinganisha na tulikotoka
 
Kinachokufanya uwe na ufahamu sio Elimu ya darasani Bali aggressiveness Yako kutafuta maarifa ya jamii mtaani , kwenye vitabu na Kwa watu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…