Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Kazi niifanyayo sasa hainipi fulfillment kabisa.
Ila insecurity ya kutokuwa kwenye ajira, na kujiajiri ni kubwa.
But, how am I to keep going on if my soul feels drained?
Mungu anapokupa kitu ndani yako na usikitumie ni laana kabisa. Kwasababu unakuwa unaenda against your fire 🔥
Sasa, nimegundua hata nifanye je, maisha yaani rudisha kwenye kitu ambacho, kipo ndani yangu. Nitakimbiza hela kwa kufanyia kazi watu ila it'll never feel enough.. Bado kuna kitu ndani kitahisi kiu.
Have you ever wondered unafanya kazi sehemu ila unakuwa kila siku unaamka kwenda jela? Yaani unakuwa unaenda huku nafsi inakusuta? Ndo mimi kabisa, na nimekuwa nikijisemea labda nina shida, ila Hapana kwasababu nikisema weekend nijipe time nifanye kile kitu japo kwa dogo najihisi amani isiyo kifani.
Je, ndugu zangu nyie mko sawa tu chasing the paper, even if sio kitu ambacho ni purpose zenu?
Unafanya kitu unacho kupenda? How do you feel hata kama bado haujafika kule unako taka?
Najipa miaka kadhaa haizidi minne natakiwa niwe nimeshakwisha acha kufanyia watu kazi na ajira..
Utumie ujana vyema ndugu zangu. Hizi siku haiwezi kurudi tena, usije kuamka in your 50s and you did not live the life you wished.
How did y'all get out of it.. Kwa waliofanikiwa.. Toeni strategy wakuu.