Nimegundua lazima niishi purpose yangu, No way out

Najipa miaka kadhaa haizidi minne natakiwa niwe nimeshakwisha acha kufanyia watu kazi na ajira..
Hahaha oya 2026 plus 4 years is = to 2030 haya tutakukagua 2030 wenzio tuliokwishaanza kujiajiri sasa tunahesabu magoli tu, wewe endelea kusubiri miaka 4 mbele.. amua sasa kusema naacha kazi ya kuajiriwa najiajiri mwenyewe changamoto utazopitia ni nyingi ila njia ya mafanikio sio nyepesi km unavyoonyeshwa kwenye cinema
 
It an mint easy as you think, gotta need a plan
 
Huu uzi ni mara ya 10 unaandika kaka ipo hivi, kwenye maisha ya utafutaji kazi au ajira ni kama daraja la kukufikisha kwenye kusudi lako. Fanya kazi kwanza acha maneno
 
Back
Top Bottom