Nimegundua lazima niishi purpose yangu, No way out

Moja ya vitu vigumu sana ni kujiondoa kwenye chain ya kuajiriwa. Good luck with that.
I have to, yaani kwangu it's a must maana this 9 to 5 will weaken my spirit and soul
 
Niko serikalini, Nimejipa miaka mi4 mpaka 2030.
Nina Elimu ya Diploma >> Bachelor >> Masters.
Kama sitokuwa boss wa Taasisi yoyote (Shavu la kazi), Basi nitachukua Mkopo Bank na niondoke kazini nika endeshe investment zangu in 100% (Full time self employee).

2030 nitakuwa nimetimiza miaka ya kulipwa mafao yangu kwa mkupuo (nitakuwa na miaka 18 Kazini kama mwajiriwa wa serikal)
2030 nina plan na kufungua investment ya uzalishaji kubwa sanaaa (More than 250Mil), Ila maandalizi yameanza sasa. Mfano mpaka sasa 1. Nina eneo la eka 10 kwenye barabara ya TAZAMA ambalo lina hati. 2. E.T.C

Then, Mapambano ya maandalizi yanaendelea.

Mungu yupo pamoja nasi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Weka hati ya hivo viwanja nijiridhishe wasema kweli, mkuu
 
YNWA
SIMBA BINGWA
 
Back
Top Bottom