IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,737
- 3,301
utajua tuuu jisomeeeChosen ni nani?
Weka hati ya hivo viwanja nijiridhishe wasema kweli, mkuuNiko serikalini, Nimejipa miaka mi4 mpaka 2030.
Nina Elimu ya Diploma >> Bachelor >> Masters.
Kama sitokuwa boss wa Taasisi yoyote (Shavu la kazi), Basi nitachukua Mkopo Bank na niondoke kazini nika endeshe investment zangu in 100% (Full time self employee).
2030 nitakuwa nimetimiza miaka ya kulipwa mafao yangu kwa mkupuo (nitakuwa na miaka 18 Kazini kama mwajiriwa wa serikal)
2030 nina plan na kufungua investment ya uzalishaji kubwa sanaaa (More than 250Mil), Ila maandalizi yameanza sasa. Mfano mpaka sasa 1. Nina eneo la eka 10 kwenye barabara ya TAZAMA ambalo lina hati. 2. E.T.C
Then, Mapambano ya maandalizi yanaendelea.
Mungu yupo pamoja nasi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kua tajiri sio mpaka ujiajiri mkuu, inshu ni kua unapata nini kwenye pande zote mbili, Ronaldo kaajiriwa lakini anawafunika maboss wengi tu mjini kwa kibundaMoja ya vitu vigumu sana ni kujiondoa kwenye chain ya kuajiriwa. Good luck with that.
Hujui hasara ya TAARIFA potofu mkuu? Huoni wanaharakati wanavo poteza tushawishi kwa TAARIFA fake?We dogo, itakusaidia nini? Kwahiyo huamini maneno ya jamaa?
Hata kama ana danganya is it any important to us? Or you?
TAARIFA ni TAARIFA mkuuTofauti ya hoja binafsi na jambo la taifa huoni?
Sasa Ronaldo kajiajiri? Unaelewa maana ya kujiajiri mkuu? Huyo kaajiriwa ndio mana ana taka a stafu mkuu akapige inshu zakeKwa akili yako Ronaldo alikuwa kaajiriwa?
Nipate inspiration kwa TAARIFA za uongo?🤔Umbeya tu dogo, hata angesema uongo we chukua nondo au inspiration tu
Kuwa na career sio mpka uajiriwe.Sasa Ronaldo kajiajiri? Unaelewa maana ya kujiajiri mkuu? Huyo kaajiriwa ndio mana ana taka a stafu mkuu akapige inshu zake
YNWANiko serikalini, Nimejipa miaka mi4 mpaka 2030.