Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

Nimegundua leo: Baadhi ya mikataba mibovu huingiwa kwa makusudi ili tukalipe mahakama ya ICSID, hili la DP World adhabu itakuwa ni bwawa la Nyerere

Napingana na hili, tatizo sio mikataba mbovu tatizo ni jinsi mikataba inavunjwa. Mfano mmekubaliana na Acacia kuwa lazima alipe Kodi na mrabaha sahihi akiuza madini, Sasa kama amekiuka masharti mfano kauza Makinikia bila kuleta Mapato sahihi na Kodi stahiki Kuna haja Gani ya kukamata makontena au kuvunja kampuni?

Mnaandaa hoja tu za makosa Yao, mna document Kila nyaraka, Kila kontena lililowahi safirishwa na amount ya pesa iliyopotea sababu ya under valuation ya Makinikia!!

Then huko ICSID au MIGA au ICC unapeleka mawakili serious wanaoweza kujenga hoja na vielelezo. Mbona kesi mnashinda asubuhi tu.

Cha ajabu Sasa Mkataba wa DP World mmeingia CCM wenyewe alafu bahati mbaya say Mpango akiwa Rais ataufuta kwa mbwembwe Tena kwa kutumia JWTZ!! Unadhani hapo hamtolipishwa matrillion??
Salute kokote uliko
 
Back
Top Bottom