Nimegundua madaktari wengi wanaoa wagonjwa wao!

Madaktari wengi ni wachezaji(players) kwa wagonjwa wao...nimeshuhudia na kusuluhisha kesi kadhaa...hii ipo,amini usiamini.
 
Nionavyo mimi mgonjwa inakua rahisi sana kumtongoza daktari wa kike na kukubali hua rahisi...si unajua dada zetu na huruma zao?
 
Niliwahi kumtania Daktari wa Kichina nilipokwenda China....alinichoma sindano kwa siku 2..siku ya tatu nilikwenda na mke wangu alimaindi sana...
 
sishangai sana coz ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa binadamu wengi hupata wenza wao maeneo yafuatayo:
  • masomoni - yaani ktk vyuo
  • maofisini - sehemu za kazi ama biashara
  • ktk vyombo vya usafiri (mabasi, ndege nk)

inawezekana wakuu
 
co ajabu coz hata walimu wanaoa wanafunzi wao

we mtoto taratibu na tena tuombe radhi sisi walimu. Ni kinyume cha sheria na maadili ya kiualimu kuoa mwanafunzi wako.save only kama ni x student. Looh nilitaka kusahau kumbe mie mwenyewe nataka kuoa my former student!
 
wachache wanaoa wagonjwa majority wanaoa manesi.hata mimi mama watoto ni nesi
 
Chai
 
we mtoto taratibu na tena tuombe radhi sisi walimu. Ni kinyume cha sheria na maadili ya kiualimu kuoa mwanafunzi wako.save only kama ni x student. Looh nilitaka kusahau kumbe mie mwenyewe nataka kuoa my former student!
 
we mtoto taratibu na tena tuombe radhi sisi walimu. Ni kinyume cha sheria na maadili ya kiualimu kuoa mwanafunzi wako.save only kama ni x student. Looh nilitaka kusahau kumbe mie mwenyewe nataka kuoa my former student!
 
Sasa utafanyaje we umtibu wengine wakamharibu
e
 
majority ni walevi sana na wazinzi sana.na wanatumia hiyo kama tiket.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…