Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Nimegundua mapenzi hayanitaki, ngoja nifanye mambo mengine tu

Inaonesha utando umetolewa ukiwa na umri mkubwa sana

Chukua tahadhari muda mwingine uruhusu kusukumiwa ndani kwa jili yafuraha sio kila akusukumaye umzalie
 
Mimi nilipata mpenz kama wew ila mwanzoni alinikataa kuwa mi mme wa mtu akasema tuwe wapenzi tu ila si kuoana. Alipata ujauzito wangu zaidi ya mara 3 ila alikuwa anatoa.

Baadae akaolewa na mwingine hawakumaliza mwaka, akaanza kunisumbua tangu 2020. Tatizo nyota yake mbovu, ukiwa nae mambo yanafeli, naogopa hata kufanya chochote mana mara ya mwisho kidogo nifukuzwe kazi kwa sababu yake.

Ilikuwa kila nikila tunda lazima nikutane na kisanga tena cha kusovu kwa pesa na kesi juu. Nikaona isiwe shida, nikajiweka pembeni mpaka leo
 
daah nikikumbuka wanawake wanavyosumbuaga wakiwa chuchu saa sita naona ni haki tu wakifikwa na lolote uko mbeleni. wakiwa apo wanachagua na kuona km kila mwanaume hafai. sasa ngoja umri usogeesogee ndo akili ndo inarudi.
mleta mada komaa kulea watoto hao na hata ukipata mume kuwa mwangalifu sio lazima uzae nae, vinginevo utajikuta umefikisha watoto 7 wasio na baba
 
Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi kuyaacha rasmi kuanzia leo.

Historia yangu kwa ufupi,
Utabana wee mwisho utaachiaa na siku ukiachia goli la nne utafungwa halafu uje kuanza kulialia hapa. Nenda kwa hekima.
 
Mnakosea sana mnapo yafanya mapenzi kuwa ndio

First priority ktk maisha yenu , Mapenzi jinsi Yako overrated, Yana Maumivu mengi sana kuliko utamu wake ,

Bahati mbaya ni kwamba jamii zetu zimeegemea upande mmoja tu wakuongelea Mazuri yake (Ambayo ni machache)

Na Jamii hizo zimesahau kuongelea mabaya yake , Ambayo ndio Huwa Yana chukua sehemu kubwa Sana ktk maisha ya mapenzi

Nacho maanisha ni kwamba --- wanao yafurahia maisha ya mapenzi ni wachache sana compared na wale wanao umizwa na mapenzi, na hata hao ambao wanao yafurahia hayo mapenzi ni suala la muda tu , wape muda utakuja kukubaliana na Mimi Kwa Yale yatakayo kuja kuwafika

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inavyoonekana hiyo ndoa na huyo jamaa ulifosi wewe yeye hakuwa tayari ,
Sasa Angalia imekula kwako.

Aliposema
Mahali ana laki 2 badala ya milioni hadi kufika laki 1 hapo alikuwa anaonesha namna muelewe kuwa hayuko tayari na nyie mkafosi , haya sasa!
Yaani nilicheka eti katoa laki 1 [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna watu Wana bahati
 
Wewe unayatafuta mapenzi ili iweje?
Binafsi huwa ni kunyandua tu sina sababu kuubwa ya kuyapapalikia mapenzi zaidi ya hiyo tu.
Hivyo hayanitesi kwasababu mbusus ni nyingi mno, na ninaweza kuamua wala nisinyandue kwa muda fulani.

Sasa wewe unaingia penzini kwa kutaka kunyanduliwa au kupata faraja.?
Kama ni minyanduo mapenzi hayatakutesa sana ila kama unataka mpenzi wako ndo akupe furaha, akujali, akutreat kama malkia hapo ushafeli.
Hivi ndio inavyo paswa Kila mtu Aishi , huwezi kuteswa na mapenzi Kijinga jinga
 
Ila huyu mlokole shenzi sana, anajifanyq.muumini mzuri kanisani kumbe hayuko nyuma kwenye tasnia ya unyanduaji. Shenzi yaipu anamdhihaki Saa Godi.
Hata Mimi kanikwaza sio mstaarabu

Ijapokuwa hatupaswi kutoa hukumu ktk 1 side story
 
Ooooh!! Hapo sawa.

Hata nyie ni hatari rafiki, si unaona hadi mdada wa watu kayaaga mashindano!! Unafikiri mchezo!! Sema tu huwa tunawahiana, ukiwahiwa ndio basi tena.

Ila daah tumeifanya dunia kuwa ya ajabu ajabu sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] key word

Tumeifanya Dunia kuwa ya ajabu ajabu sana
 
Mkiwa wabichi huwa mnalinga ila Mkiwa mimama kama saizi mnataka kutwisha zigo mwanaume yoyote ndohapo utaanza kusema umekosa nn kutoka Kwangu kumbe k imepauka sana ukifunua tu inacheka kama mdomo wa kambale, unawatoto umetepeta. Wewe saizi uza hata mahindi ya kuchoma kwenye barabara za lami pembezoni utafute hela ya kodi na sabuni tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119] jf
 
Mimi nilipata mpenz kama wew ila mwanzoni alinikataa kuwa mi mme wa mtu akasema tuwe wapenzi tu ila si kuoana. Alipata ujauzito wangu zaidi ya mara 3 ila alikuwa anatoa.

Baadae akaolewa na mwingine hawakumaliza mwaka, akaanza kunisumbua tangu 2020. Tatizo nyota yake mbovu, ukiwa nae mambo yanafeli, naogopa hata kufanya chochote mana mara ya mwisho kidogo nifukuzwe kazi kwa sababu yake.

Ilikuwa kila nikila tunda lazima nikutane na kisanga tena cha kusovu kwa pesa na kesi juu. Nikaona isiwe shida, nikajiweka pembeni mpaka leo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119] nimecheka sana
 
Pole sana, embu weka picha members wakupe miongozo...
 
Sidhani kwa sababu sijawahi mpa jukumu la kununua chochote, cha wanangu na sehemu kubwa najihudumia na nahudumia wanangu katika hali ya ugumu ila najitahidi misimtegee mtu katika maisha yangu.

Kwake nilikuwa nahitaji faraja tu basi huduma zake alikwa anatoa mwenyewe kwa kupenda na si kumlazimisha afanye kitu kwa watoto.
Sasa si uje basi tumalizie umri na mimi, ninao watatu mama yao nilipiga chini baada ya kuleta mbwembwe.
 
Nina miaka 34 sasa nikiwa mama wa watoto 3, hakika sina budi kukubali kuwa mapenzi hayanitaki tena hayanipendi kabisaa, japo niliyapenda na kuyapa thamani katika maisha ila nimeangua sina budi kuyaacha rasmi kuanzia leo.

Historia yangu kwa ufupi,

Mpenzi wa kwanza.

Huyu alinionesha mapenzi ambayo hakika sijawahi kupata, alikuwa mkweli mpole, na mwenye mapenzi ya dhati kwangu, nami nilimpenda sana sana katikati ya penzi zito tukapata mtoto 1 kwa bahati mbaya mpenzi wangu Mungu akampenda zaidi akafariki dunia nikabaki na mtoto.

Ndiyo penzi pekee ambalo sina historia mbaya nalo, penzi hili lilidumu kwa miaka 5 na lilikuwa bado tamu ila ndo ivyo ilibidi nikubali kuwa hayupo na nisonge mbele.

Kimbembe kinaanza.

Mpenzi wa pili


Tulikutana katika mazingira ya kutafuta maisha tukaanza kuwa marafiki baadaye tukawa wapenzi, mapenzi yakaendelea japo tulikuwa na migogoro ya hapa na pale ila tunaongea tunasawazisha maisha yanaendelea.

Kushtuka nina ujauzito, nikamwambia nina ujauzito akasema sasa itakuwa aibu kubwa sana (kipindi hiko yeye alikuwa anasali kanisa fulani na mimi akanikaribisha tusali wote na alikuwa ni mtumishi kanisani hapo) akasema suluhisho ni kufunga ndoa ya haraka.

Tukaongea na wazazi, ndoa ya haraka ikapangwa, akaambiwa atoe Mahari 1,000,000 mimi nikapambana kuwaambia hii ndoa ni ya haraka hasa kuzingatia hali yangu tukichelewa tumbo litakuwa kubwa hivyo kwa sasa uwezo wake labda atoe 200000 tu, na harusi yenyewe ni ya bila sherehe.

Wazazi wakakubali, akaambiwa atoe laki mbili kumbe hana yeye akasema laki basi ikabidi wazazi wapokee tu maana ndoa ishaanza kutangazwa, harusi ikafungwa bila sherehe.

Baada ya ndoa, ilikuwa ni migogoro kama tunaigiza sinema ndani, yaani ni ugomvi kila kikucha kila siku tunasuluhisha kesi, tukipatana na siku 3 zilizobaki ugomvi, na magomvi yenyewe hata hayama maana ni ya kijinga tu hata aibu kumwambia mtu kuwa hiki ndio cha nzo cha magomvi yetu.

Ikawa kama muujiza tukafanikiwa kutulia kama mwaka nikabeba mimba nyingine nikajifungua mtoto wa 3, tukaanza kulea mtoto mchanga amani tunacheka.

Mara vita ikaanza tukarudi kugombana, hatuelewani mara siku niko kwenye kazi zangu natumiwa sms KUANZIA LEO MIMI SIO MUME WAKO TENA, nataka kumuoa Fulani( huyu dada alikua mchepuko wake) na aliwahi kuwa saabu ya mpasuko wa ndoa yetu kwa sehemu kubwa.

Nikapaniki nikarudi nyumbani nalia kama nimefiwa, basi aliporudi akanambia chukua nguo zako sepa, nikasema siondoki, kipigo nilichopigwa sitasahau nusu anitoe uhai.

Nikaondoka, nikaenda kwa ndugu, akaitwa hakuja, kupigiwa simu akasimamia uamuzi wake kuwa ndio kaamua kuniacha, nikaomba watoto akanipa nikaanza kuishi na watoto peke yetu na hata sijui alipo maana aliamua kuhama na simu kabadili namba.

Baada ya mwaka 1 nikampata mpenzi 3

Maisha ya mapenzi yakaanza penzi likachanua mpaka nikaona angalau dunia ni nzuri penzi likawa tamu, tukapanga mipango ya kuishi wote, na yeye ndio alioanzisha jambo hilo wala sikumwambia kuhusu kuishi wote.

Baada tu ya kukubali kuwa tuanze kuishi wote akaanza kuwa busy hanitafuti iwe kwa simu au sms, ukipiga simu hapokei, sms hajibu, unaweza tuma sms ya kumsalimia asubuhi ikajibiwa usiku, ukipiga simu anaka, au hapokei hata siku 3 na akipokea anakwambia nisubiri kidogo nitakupigia ndio imetoka hadi kesho upige tena, ukimuuliza kama kuna tatizo anajibu hamna, ukimuuliza kama kakuchoka anajibu hapana ila kazi nyingi.

Ukimwambia tuoanane anakubali ikikaribia muda anasema kapata dharura iwe kesho, nk, mwezi sasa yuko ivyo na hatujaonana japo sio mbali. Nimejiongeza kuwa kashaniacha ila kashindwa kusema kuwa kaniacha.

Sasa mapenzi naona niwaachie wengine mimi nipambane na malezi ya wanangu tu.
Kweli mkuu jipe likizo uwe unajipoza genye tu huku ukile wanao......we kula kimasihara tu ila usiweke hisia kwa mtu utateswa tena. Baada ya kuachana na mapenzi ipo siku Mungu atakukutanisha na mtu wala hutatumia nguvu nyingi.
 
Back
Top Bottom