Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?


Hakuna cha kushauri hapo. Yeye hadi anatapika, analia siku tatu halali, maumivu yote hayo si anajua amefanyiwa ubaya kabisa? Mambo ya mahusiano ukishauri mtu eti akae au etembee utakuja onekana mbaya. Ni kumfariji tu kama rafiki. Ongea naye kwa simu, kama inawezekana kukutana unafanya hivyo pia. Sababu tu ya korona sasa ila otherwise ilikuwa kumpa mdada company nk.


Lakini suala la ushauri tayari anajua huyo jamaa hafai, sasa ni yeye apate ujasiri wa kuanza maisha mengine. Ushauri labda mambo ya biashara, kazi nk. Au kama ni mapenzi ni pale unapoona mtu hajitambui. Huyo lakini anajitambua kabisa.
 
Asante Kwa ushauri
Uje Kwa shangazi WA Uganda kule anakuiita,πŸ˜‚πŸ˜‚
 
nitumie namba ya bibi harusi kule PM nimuondolee upweke haswa kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia,niamini wala sitokuangusha kwa sababu ntamkuna kisawa sawa na stress zote zitamuisha.

wahi kutuma usichelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aje kwangu...
 
nitumie namba ya bibi harusi kule PM nimuondolee upweke haswa kwenye kipindi hiki kigumu anachopitia,niamini wala sitokuangusha kwa sababu ntamkuna kisawa sawa na stress zote zitamuisha.

wahi kutuma usichelewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
Kabla sijakupa namba ya biharusi embu njoo kule kwenye posta ya shangazi anaepima urijali upimwe kwanzaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…