Nimegundua mchumba wangu ni shoga, nifanyaje?

Halafu nahisi huu msala ni wako ila umemsingizia mdada wa watu huku wewe ukiwa umejiweka kapuni
 
Aisee
Kabla sijakupa namba ya biharusi embu njoo kule kwenye posta ya shangazi anaepima urijali upimwe kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
ondoa hofu kabisa-tutajipimishia wenyewe na huyo bibi harusi siku ya kukunana.

mambo ya kupimwa sijui na shangazi siku hizi kuna vipimo feki,yanaweza kuja majibu yaliyo kushoto kushoto.

lkn huyo bibi harusi je,yaliyomo yamo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani unasema K ya shangazi NI feki??
We mwana we biharusi wamtaka au?!
 
Yani unasema K ya shangazi NI feki??
We mwana we biharusi wamtaka au?!
hahahaha sasa mimi sio muoaji bali nimejitolea kumliwaza huyo bibi harusi ki roho safi kwenye kipind hiki kigumu anachopita.

tena ntapiga na style mpya mpya za mwaka huu lazima akuhadithie uje kufungua uzi mwingine.

mambo kutestiwa ilitakiwa wamtest mtu anayekuja kuoa.

nyinyi semeni mnataka kunikomesha tu mnipatie huyo shangazi sijui ili nimshindwe na bibi harusi wenu mninyime

Hahahahaha, interview inaanzia Kwa shangazi😂😂
 
Back
Top Bottom