Nimegundua mdogo wangu ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu

Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
Liverpool VPN njoo utoe ushauri huku.🤗
 
Pole mkuu, kabla hujajiua hakikisha unaishi mpka muda ambao ndugu yako atapata mwanamke anaetarajia kumuoa nawe mle na ufanye ajue.... halafu wacha mambo yaende kama yatakavyokuwa.
Ampige na mimba kabisa. Akigoma kuipokea amle tigo na ninaidhinisha adhabu hii. Kwanini ulielie wakati uwezo wa kulipa kisasi unao?
 
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili sana hawa viumbe ila piga moyo konde maisha yaendelee
 
Waite wape ukweli kwa kutumia ushahidi wa chating ulizoziona kwenye simu zao Kisha waache waendelee na uhusiano wao, we pita huku.

Angalizo: Tusiwapende Sana Hawa kina Eva na kuwakabidhi moyo mzimamzima hawatabiriki hawa. Penda kiakili kaka sasa wewe unataka Hadi kujiua kwaajili ya mbunye moja na kumuacha dogo aendelee Kula mbususu ebooo! Huo ni udhaifu mkubwa Sana usithubutu kufanya hivyo we tafuta msichana mwingine endelea na maisha Mambo ya kujiua mwachie mkwawa.
 
kwenye wimbo wa TX Moshi akiwa na OTTU JAZZ BAND kuna kipande kinaimba "hapa nilipofika panatosha, nisijefuga ugonjwa nikakosa dawa.... najua nina kiu nawewe, nitakunywa maji itulie" ishi nayo hiyo.
 
Poleh sana kaka kubaliana tu n matokeo sometimes mwanamke ukimpa kila kitu ni tatizo anaona kwake hufurukuti ko amafanya anachojisikia kufanya sitisha huduma kwanza
 
Mtafute demu wa dogo mweleze ukweli mpoze machungu. Dawa ya moto ni moto.
 
Ukinywa sumu ukafa. Siku yako ya msiba dogo na demu wako watapeana pole kama watasafirisha watakaa siti moja na ukaribu utaongezeka. Tafakari vizuri
 
Miafrika ndivyo tulivyo sasa ulitaka aliwe na stranger,, we tulia bwana kama kudumbukiziana walishadumbukiziana.
 
Waite wape ukweli kwa kutumia ushahidi wa chating ulizoziona kwenye simu zao Kisha waache waendelee na uhusiano wao, we pita huku.

Angalizo: Tusiwapende Sana Hawa kina Eva na kuwakabidhi moyo mzimamzima hawatabiriki hawa. Penda kiakili kaka sasa wewe unataka Hadi kujiua kwaajili ya mbunye moja na kumuacha dogo aendelee Kula mbususu ebooo! Huo ni udhaifu mkubwa Sana usithubutu kufanya hivyo we tafuta msichana mwingine endelea na maisha Mambo ya kujiua mwachie mkwawa.
Ahsante Sana kwa kunitia moyo mkuu[emoji120][emoji120]
 
Mkuu, hakuna mke hapo narudia tena hakuna mke hapo achana nae fanya mambo mengine.

Nimeshakutana na hizo mapichapicha sana tu kwa hawa wakike, mpaka naonaga hakuna demu wa mwenyewe ila tu kikubwa nisijue kama inamegwa na sitaki kufuatilia maana nikijua hakuna mbili kwenye moja ni kuachana tu

Mwambie ukweli kua umejua ujinga wake na dogo then fanya mambo mengine, ukijionyesha unajua kupenda sana na kumuonyesha unampenda sana kwa kujua na kusamehe Wallah utakuja hapa unafuta kamasi kama mtoto mdogo.
Nimekuelewa mkuu
 
Habari za muda huu wanajamvi? Ni matumaini yangu kwamba mnaelendea vyema na majukumu yenu.

Nimekumbwa na msongo mkubwa sana wa mawazo baada ya kugundua mdogo wangu wa kiume Ana mahusiano ya kimapenzi na Mpenzi wangu ninayempenda kwa dhati Sana.Kwa hyo Naomba mnishauri vizuri baada ya kusoma kisa changu kifuatacho.

Nina mpenzi wangu mwenye miaka 24 na nimedate naye kwa muda wa miezi Saba Sasa.Ni mwanamke ambaye ninampenda kea dhati yangu yote na nilikuwa na malengo makubwa Sana naye ikiwemo ndoa.

Tumekuwa tunapendana Sana na Mara nyingi anakujaga home kwetu kunitembelea mixer kutangamana na familia yangu( ndugu na wazazi wangu).

Alijenga mazoea makubwa Sana na familia yangu hasa ndugu yangu mdogo wa kiume ( ninamzidi na miaka 4) Hadi wakafikia hatua ya kubadilishiana mawasiliano wakawa wanaongea kwa pigo za kishemeji shemeji.

Hilo sikuwa na tatizo nalo maana nilijua huyu Ni ndugu yangu mdogo namwaminia kwahyo sikuwahi waza kwamba anaweza date na demu wangu.

Huyu mpenzi wangu nilikuwa nampenda kwa dhati Sana na toka nianze kudate naye Wala sijawahi mcheat na demu mwingine.Nilikuwa namprovaidia Kila kitu ambacho mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake.Nilikuwa namtazamia kula yake,mavazi,nauli,hela ya saloon,namuungia bundle na vocha kwenye simu yake,namtoa out mixer hela ya matumizi mengine ya kawaida.Chumbani Napo nilikuwa Nampa tango Yaani nilikuwa napiga shoo za nguvu Hadi ananistukia.Kwahyo ninaweza kusema kwamba mpaka muda huu sijawahi mzingua kwa lolote.

Naye hakuwahi kuonesha ishara za kudate na mwanaume mwingine tofauti na Mimi mpaka leo nilipogundua kwamba anadate na mdogo wangu[emoji24][emoji24][emoji24] Leo mida ya asubuhi tulikuwa sebuleni kwa mama tunashusha kiamsha kinya mixer kupiga story za matukio.Mdogo wangu alikuwa amekaa mkabala na Mimi na simu yake alikuwa ameiweka juu ya meza.

Sasa kipindi tunaendelea kunywa chai alikuja rafiki yake akamwita nje waongee kdgo.Alipotoka ghafla simu yake ikaanza kuita nikaona jina imeandika " SAM" afu number Nikaona ni ya huyo mpenzi wangu kbsa.Nilishtuka Sana na nikaanza kujiuliza kwanini mdogo amsevu mpenzi wangu( shemeji yake) jina tofauti na lake.Mpenzi wangu anaitwa Suzie afu yeye amemsevu SAM,kwanini?

Nikajua Kuna kitu kitakuwa kinaendelea Kati ya Hawa wawili.

Brother aliporudi ndani nikamwambia simu yake ilikuwa inaita akaichukua akaona missed call akasema this is confidential akatoka nje akampigia.Waliongea muda mrefu Sana nami nikawa nimechanganyikiwa mazima Moyo ukaanza kutetemeka Hadi nikashindwa kuendelea kunywa chai.

Aliporudi ndani nilijifanya sijui kinachoendelea nikachora plan ya kumuomba simu yake niujue ukweli wote.Nilianza kuzuga zuga kwamba nahitaji kuongea na mshikaji wangu mmoja nifanye naye biashara fulani muhimu kbsa ila Sina vocha kwenye simu.

Nikamwambia mdogo wangu Kama Ana credit kwenye simu yake anipe japo kwa dakika tano nionge na jamaa aje tufanye biashara.Bro hakumaind Sana akachukua simu akaweka password akanikabidhi nikatoka nje.

Moja kwa Moja nilingia kwenye what's up yake nikafungua chats za Sam( ambaye ndio mpenzi wangu Sasa). Aisee nilihisi nimepigwa na kitu kizoto kichwani mwangu baada ya kusoma baadhi ya charts Kati ya mdogo wangu na Mpenzi wangu.

Nilikugundua Hawa wawili Wana mahusiano ya kimapenzi yaliyo serious kbsa.Texts za mahaba na picha za uchi ndo zimesheheni kwenye what's ya ndugu yangu.Mpaka wakaelezana walivyoenjoy sex kipindi fulani [emoji24][emoji24][emoji24]

Nilibujikwa na machozi mengi Sana mixer kosononeja moyono baada ya kukutana na Mambo ambayo kamwe sikuwahi tarajia kama yanaweza kutokea.Nilifuta machozi yangu nikaosha uso ili kuficha sonona yangu.Nilimrudishia simu yake nikatoka upesi huku natetemeka Sana.

Kiukweli Nina hasira nyingi Sana kwa ndugu baada ya kugundua unyama anaonifanyia na Mpenzi wangu.Nawaza Mambo mengi kichwani na nimekosa amani ya moyoni kbsa.Muda huu nipo kwenye baa fulani kwenye mtaa najianda kuagiza pombe ninywe nilewe nijaribu kupoza maumivu ninayohisi pindi nitakapomaliza kuiwasilisha hii thread kwenu Wana JF mnipe ushauri.

Natamani ninywe sumu nikafe tu maana mwanamke niliyekuwa na malengo makubwa Nate ndo huyo ananicheat na ndugu yangu.Waliowahi kupatwa na maumivu ya mapenzi bila Shaka wanajua magumu ninayopitia muda huu.

Akili zimesimama,Moyo unauma,kichwa kinaumwa na mwili unatetemeka.Bado nampenda Sana na kumuhitaji mpenzi wangu ila Niko njia panda sijui nifanyeje tu.

Ushauri wenu utanifaa zaidi katika huu msala nilionao.
Sasa mbona mdogo wako unamwita bro man, inakuaje hapa, unatakiwa umwite dogo au bwana mdogo, au ndio tayari umeamua kumpa na cheo chako kabisa?

Anyway pole sana kama hii story sio ile bidhaa pendwa ya makambako.
 
1}Mdogo wako hana demu?
2}Vipi demu wako hana dada au mdogo ake?
3}Na mdogo wako ana umri gani?
 
Hukua na haha ya kujieleza Sana,

Uyo mwanamke wako anakujua Zaid ya tunavyokujua.

Kubali ukatae,

Kuna kitu Dogo kakuzidi kete,
Bila Shaka dogo atakua wakisasa Sana kushinda bro ake ....Mara nyingi mabraza tunajijutaga tupo rafu Sana hata Kama tupo vizuri kiuchumi[emoji1][emoji1]
 
Chai kwa Mama kiasi godo akupande kichwani...

Dogo nae ajitambui wanawake wote mpaka kwa shemeji yake!

Bila shaka nyinyi ni wasukuma au wenyeji wa Mwanza, Baadhi hizo ndio pigo zao.

Fanya kikao cha surprise wakutanishe bila wao kutarajia,

Weka mkeka adharani na baadae hama nyumbani.....
 
Back
Top Bottom