Nimegundua mke wangu ananiroga akishirikiana na wazazi wake

Mwanamke ambaye ni mzinzi au ni mshirikina ni wa kuacha.
 
Chief unadhani mtu aliyerogwa anajijua basi? Jibu ni hapana ni mpaka umpate mtu wa pembeni ndio atakuambia utofauti lakini wewe kama wewe huwezi jijua mkuu. Hapo tayari umesharogwa ila hujijui.

Bilblia inasema Vita vyetu si vya damu na nyama bali ni juu ya falme na mamlaka ya wakuu wa giza..! Kama ulishasikia unapigwa lakini huoni anayekupiga hivyo ni vita vibaya sana. Usiombe uingie kwenye vita vya kiroho ni hatari sana.
MUNGU ATUSAIDIE
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…