Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kujitambua kunatakiwa kuweje?Hujitambui sasa uitaka uitweje
Sina hakika, kwa sababu ata kulitamka linakuwa halina ladhaKwani hiyo kimburu maana yake ni nini? Usikute inamaana nzuri labda 😆
Sababu kuu inakuwa ni nini?Sisi wengine hua tunaitwa "mbwa"
Kimburu ana sifa zipi?Hata hivyo unafanana na KIMBURU
Sio kweli!!Kimburu~mbuzi mdogo
Atakuwa anamaanisha niniWe KIMBURU,endelea kuhonga tu
Kwa nini wanatupatia majina yasio eleweka?Bora wewe mimi ananiita Nape mkeka na mke mdogo ananiita January mpaka December
Itakuwa lugha gani?Kimburu~mbuzi mdogo