Nimegundua mpenzi wangu akiwa na marafiki zake, huwa ananiita mimi kimburu

Nimegundua mpenzi wangu akiwa na marafiki zake, huwa ananiita mimi kimburu

Maana ya Kimburu ni mtu asiye jitambua, mpumbafu, mtu mwenye kibri, mtu aliye zaliwa kando ya nyumba ya muuza pombe za kienyeji, kiufupi wewe ni mpumbafu..

Hiyo ndiyo maana ya KIMBURU kulingana na dictionary ya RUSSUA enzi za USSR
Unanishauri nimpe adhabu gani
 
Huku kwetu kimburu ni mbwa mzululaji asiye na kwao na mara nyingi huishia kuwa mbwa kichaa na kuuliwa na maafisa mifugo kwa bunduki
Kwa hiyo anaweza kuwa anamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom