ZEE LA UONGO
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,314
- 3,944
Sawa bwana kimburu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini nisife kwa ajali au tatizo lingine, ingawa kifo ni haki ya msingi ya kila kiumbe hai?Tafsiri wewe ni mzululaji aka malaya uliyekubuhu na utakufa kwa ukimwi
Kimburu yani wewe ni paka wa poriniUnanishauri nimpe adhabu gani
HapanaJe! Wewe ni mdudu?
😂
Kwahiyo mwanetu hana makazi maalumu yaani ni kimburu.Huku kwetu kimburu ni mbwa mzululaji asiye na kwao na mara nyingi huishia kuwa mbwa kichaa na kuuliwa na maafisa mifugo kwa bunduki
Tuanzie hapa kwanza,Kimburu ni nini?Katika pita pita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu...
😂😂😂 Bora angeitwa kichana au Basi mburu. Kimburu nikile kidogo kimekonda hakina nyama 😃Kimburu~mbuzi mdogo
Nimesikia mkuu, wengine wanaitwa zezeta n.kHujawahi kusikia mtu anaitwa KIZIBO mkuu???
Ukitafsiri kwa Kichaga ndio maana yake. Ila kwa Wasukuma Kimburu ni paka pori (paka alieasi mwizi wa kuku).Kimburu~mbuzi mdogo
Pole sana labda una kibamia! Mimi wangu ananiita AK47 kutokana na SHOW HEAVYKatika pita pita kwenye maeneo ya ofisi ya mpenzi wangu, nikasikia wananiteta, ''kimburu wangu ananivuruga kweli, hataki kutulia na mimi, kila wakati ni migogoro tu...
Atakuwa anamaanisha nini
Kwa nini sasa waniite kimburu?we jamaa una wapenzi wangap!?,,na inaonesha unawapenzi wa kila sifa !.
Itabidi nikamuombe ufafanuziPole sana labda una kibamia! Mimi wangu ananiita AK47 kutokana na SHOW HEAVY
unawapanga mnooooKwa nini sasa waniite kimburu?