Nimegundua mpenzi wangu akiwa na marafiki zake, huwa ananiita mimi kimburu

Ulifanya kosa ungejitokeza na kukubali kuwa wewe ni kimburu, halafu ungeondoka na kuwaacha wakiendelea kuteta, hakika hilo asingelisahau maisha yake yote hapa duniani.

Umefanya kosa sana kubakia na donda hilo moyoni litakutesa mno huko baadae.
 
Kimburu ni kitoto Cha mbuzi na mojawapo ya tabia zake ni kutaka kudandia Kila mbuzi including mama yake. Huwa kinakuwa hakijabalehe hivyo hufanya kama mchezo TU.
 
kwa wasio elewa KIMBURU ni mtu dhaifu asiye na mamuzi..(mjinga).
KIMBURU kwa maana nyingine ni goigoi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…