Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Tatizo liko wapi hapo? Laiti Kama watu wangejua Siri zooote za wachumba wao zilizopita unadhani leo kungekua na ndoa?
Ishu ni anatabia mbaya?
Wakati mwingine tunadanganya kuhusu historia yetu ili tupate nafasi nzuri na yaliyopita tunayajutia sana

Swali' wewe umeshawahi kulala nae happy nyuma? So unautakatifu gani? Achana na historia ndugu yangu
 
Back
Top Bottom