Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Vipi kwa upande wa Mwanaume?

(NB; Kwa hizi imani zetu hakuna anayeruhusiwa kusex kabla ya ndoa)
Ni kweli kabisa hakuna anayeruhusiwa ila jiulize mara nyingi ndoa hunjika haraka ni wakati upi je mwanamume anapotoka nje a mwanamke??
kifupi ni nani anahimili kuchepuka bila kuleta madhara ya moja kwa moja kati ya me na ke??
 
Ni kweli kabisa hakuna anayeruhusiwa ila jiulize mara nyingi ndoa hunjika haraka ni wakati upi je mwanamume anapotoka nje a mwanamke??
kifupi ni nani anahimili kuchepuka bila kuleta madhara ya moja kwa moja kati ya me na ke??
Hakuna mkuu....Kwasababu hii mzee Hakuna mwenye kinga ya magonjwa.
Sioni sababu za kuhalalisha uchepukaji kwa kutazama jinsia.
 
Hakuna mkuu....Kwasababu hii mzee Hakuna mwenye kinga ya magonjwa.
Sioni sababu za kuhalalisha uchepukaji kwa kutazama jinsia.
Usini nukuu vibaya kwamba mwanaume anahaki ya kuchepuka lah hasha ni hivi swala la kuchepuka kwa mwanamke kwanza hushusha hadhi yake, pili anaweza kuleta kiumbe ambacho atakidanganya na kudanganya familia kua ni damu yao kumbe sio tatu hua hawawezi kutumikia ma bawana wawili maana waanje hua na nguvu zaidi kuliko mumewe
 
Ni kweli kabisa, waigizaji wakuu.

Na hakuna aliyevuliwa nguo kinguvu, baadhi labda first time, ila waliendelea kuzivua/kuvuliwa kwa hiari.

Ila bado haizuii kuoa, unajipa muda, unachagua mwenye afadhali na ladha unayoipenda.
Siku hiz mzee tuoane ili tuzae tuu sio kuishi nakuhakikishia kizazi chetu xaidi ya 80% ya ndoa zetu zina na zitavunjika sababu ni wanawake
 
Yes ni vikubwa lakini maisha wacha yaendelee..She is a woman who anybody would wish kumuoa..Ila sasa ndo imetokea utabaki unamhukumu na kumtorture ili iweje..I even thought of a divorce sema nimefunika kombe asee maisha yaendelee...

Na ni kweli usemayo kuhusu single mothers,Ila kwa mimi niko tofauti sana...Hata nikimkuta mtu na watoto wanne kwangu si tatizo wala hata na ningeweza muoa....Shida unakuwa na moyo huo halafu mtu anakuchukulia poa ndo inaumizaga in a way...

Anyways kuna mengi sana ningeweza ongea but lets enjoy life..Cha msingi ni kuwa kufanya nilichokifanya si rahisi kwa watu wenye mioyo soft
Hongera sana wewe ni mwanaume ingawa ni ngumu kusahau ila Mungu atakupigania all the best...naamini utapata mtoto soon
 
Sasa kutoa mimba na kua gold digger kunahusiana na nini, lol

Ila bro kupitia majibu yako inaonesha kabisa Mungu kamuepusha huyo manzi na kichomi [emoji2960], Yaan angeolewa na wewe huyo sister alikua anaenda kufujika na kuchakaa me nakuchana live,[emoji16]

Una ubinafsi, una nongwa, una ujuaji na unafki sina shaka kabisa huna maelewano na jamii inayokuzunguka,

Sema nini, athari za makuzi, me nakuelewa mbona.
Hahah, ni kweli ningemtumia ipasavyo ila si kumfuja. Na hata ningemfuja ni mke wangu tayari, naye angeweza ni ruksa kunifuja. Kuhusu unafiki na ujuaji, ni kweli nipo hivyo, kulingana na mtu ameni face vipi. Ukija kistaarabu utapata uungwana na ustaarabu, ukija kipimbi na kijuaji nami nitakuletea ujuaji.

Ni gold digger kwani alikuwa yupo tayari aue ili aolewe na mimi, ninamjua kuliko umjuavyo. Ni vihela vyangu vilikuwa vinamtoa macho mpaka kufikia kutoa mimba 2.

Kifupi mimi ni mtu poa tena sana, hao niliowajibu huko juu kijuaji au kimajivuno ni kuwa walianza wao. Ukianza mimi namaliza, hii ndio slogan yangu.

Mwisho, jamii yangu inafurahia uwepo wangu, na nadiriki kusema hainioni kama wewe usiyenijua unionavyo kichomi.

Kikubwa ni 'heshimu uheshimiwe'.

Siku njema!
 
Aiseee dunia ina speed, kutoa mimba ni jambo la kawaida duuuh.

Unaposali ndio ulifundishwa kutoa mimba ni kawaida.
We wakat unasali ndiyo ulifundishwa kutelekeza mimba? Kuwa na wanawake zaid ya mkeo wa ndoa je? Kwa upande wako dunia iko slow sana
 
Back
Top Bottom