Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.

Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate, NIMEAMUA RASMI KUMUACHA NA KUSITISHA NDOA, AMEPIGA SIMU ZAIDI YA MARA 70 NIME MUTE.

Ahsante m ungu kwa kuniepusha na huyu gold digger!View attachment 2050980
Sasa,si bora alivyotoa mimba?Angejitoa roho ungemuona?
 
Wengine hawatoi ila wanatumia p2 ama njia za uzazi Point ya msingi Ukitaka kuoa oa Mind ya mwanamke na sio Mwili wake.

Unayemwoa utakaa naye sana kuhukumu past yake ni aina fulani ya ujinga.

Kila mtu ana mistake zake tukisema kila upande wahukumiwe matendo ya wanaume ni machafu zaidi ( Mimi pia ni mwanaume)
mwanmke aliyetembea na wanaume zaidi ya watatu kabla ya ndoa huyo hafaikuoa
 
Huyo mwanamke ni muuaji na hana uoga tena kashakua jasiri wa kutoa mimba 2, jamaa hata akimuoa akawa mke ndani anaweza kuchepuka akapata mimba na bado akai abort tu...

Pia hapo mwanamke inamuweka kwenye hatari ya kua mgumba au kuharibu kizazi so jamaa anaweza akawa anataka kuoa mwanamke mgumba/tasa tayari pasipo kujua baadae waanze kutafuta mchawi nani mbona hawapati mtoto miaka inasonga ndoani..
Alafu ku toa mimba kuna nuksi hawajui tuu
 
Wapo pia wanaume mashoga wanaongozana nao,just imagine mwanaume kabisa kabisa na pumbu zinamning'inia yupo hapa anam-crush mwanaume mwenzake kwamba kwanini anaacha kuowa mwanamke kisa ame-cheat mara mbili alizokiri mwenyewe akapata mimba na akaenda kuzitoa.

Yaani kwao mchumba kugongwa na bwana mwengine siyo shida,kutoa mimba siyo tatizo nawasikitikia wazazi waliojikunja kuwazaa maana ni useless!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka naomba nikupe my expirience kuhusu hili suala la kutoa mimba yaliyonikuta Mimi especially niliyekuwa kwa ndoa..You all can learn pia kupitia mimi

My wife kabla ya kuanza uhusiano nae was a good friend of mine alikuwa na jamaa wake wanadate akapata mimba na akaona si kesi bora aichomoe tena kwa ushauri wa Marafiki na Dada zake yote hiyo ni sababu kuu cha kwanza ni kuogopa wazazi watasemaje..Lakini pili na kubwa jamaa wake alikuwa ana wanawake kama watatno anaotoka nao kwa pamoja na yeye akiwemo..

Mimi huwaga nina mentality ya kupotezea na wengine husema ya kizungu,nikasema yes she made a mistake so siwezi kumhukumu kutokana na alichokifanya as so long as amejifunza..So we started dating kiroho safi bila kuwaza na wala kumkumbushia kuwa ulitoa mimba hata siku moja bali nilikuwa nammind jamaa in a way ila nikapotezea na kusema ajali kazini

Fast foward we started dating na kwa kuwa tulikuwa wote kwenye hustles na tunashirikiana katika utafutaji wote tukaona si busara yeye kupata mimba..so i was very keen kwenye sex kwenye suala zima la kuwithdraw nikiwa nina cum so hakuwahi kuwa na wasiwasi wa mimba during kudate kwetu..

Baada ya miaka miwili na nusu nikaona why not get married kwa mtu ambaye she has been almost perfect kwa vitu vingi sana na ana mapungufu machache..so tukaingia kwa ndoa..Then after six months tukaamua tuanze tafuta mtoto kwa kila namna..Na hapa sasa ndo ikawa Interesting..Jaribu sana kwa kila namna for like a year,ila waapii..I was ready kusubiri na nilikuwa patient sana na niko nae bega kwa bega...Mama yangu Mzazi pia alikuwa na sisi bega kwa bega..baaada ya mwaka kupita akaanza kupata shauku ya kupata mtoto na anatamani kweli kweli Na mimi kwangu ikawa ni hivyo pia..

Tukaanza sasa officially kuhangaika nae kwa kuonyesha kila namna ya support kwake kwenye kutafuta suluhisho la tatizo lake,sihesabii gharama tulizotumia na usumbufu like ni almost around mil 5 kwa kuhangaika kwa madaktari bingwa hapa Dar yote na hata mitishamba ya kila namna..sasa ikawa imepita miaka 3 hadi hivii sasa hatujabahatika kupata mtoto..

Kubwa sasa ni juzi hapa tukaenda kwa Mtumishi mmmoja na kiukweli ingawa mimi haya mambo ya dini siamini lakini kwa kuonyesha support kwa mke tukaenda kwa huyo mtumishi na hapo ndipo ukweli ukadhihirika ambao umebadilisha kila kitu na uelekeo wa ndoa kwa ujumla..

Ilikuwa hivii,Mtumishi akamuuliza anhaa naona umeamua kuja na mume wako na ni jambo zuri sana...akasema ndiyo...Basi mtumishi akamuuliza na ndiyo kwanza anatuona kwa mara ya kwanza..Akauliza swali unahangaika na mnahangaika sana kupata mimba lakini mume wako anajua ukweli..???.Mi nilikuwa chilled na kusema aaaah kama ni kutoa mimba hilo nalijua alitoa mimba yes na niliridhia bila shida...akamuuliza swali jingine ni mimba ngapi ushawahi kutoa...Mi kwa kujiamini nikawa najua ni mmoja ila nikashtushwa na ukimya kwanza wake...Mapigo ya moyo yakaongezeka kwanza kwa sekunde zile 5 alizokaa kimya

Nikajisemea haraka mbona anasita tena..Then nikasikia akimjibu ni tatu(3) daaaaaah aisee nilipigwa na ubaridi pale na hasira zikanijaa lakini nikaact calm kwanza...Nikashusha pumzi lakini nikawa siamini lile jibu kutoka kwake...Na ndiyo ilikuwa muda tunaondoka so tukaingia kwenye gari tukawa tunaondoka eneo tulilokuwepo huku mtumishi akitupa lift..Nilibadilika ghafla nikawa nasikia baridi na kutetemeka kwa hasira sana sana...sijawahi kuwa na hasira toka nimezaliwa kama ile siku..

Tukashuka mtumishi akatuacha mitaa mitaaa.Akawa ananiangalia asielewe anaongea nini...Tulivyokuwa kituoni swali la kwanza nikamuuliza like why uliamua kujifanyia hivii kwa mwili wako and la pili nikamuuliza why did you choose to hurt me katika namna hii...I was so very hurt kiasi cha kwamba nimeapa sitofikia ile hatua kuumia namna ile..Tukapanda Daladala kuelekea mitaa yetu ya nyumbani lakini kwenye daladala natetemeka nina hasira sana na ninachokitamani ni kuvunja vioo vya gari kwa ngumi ili nitulize tuu hasira...huwaga niko hivyo,nikivunja kitu ni bora zaidi kwa kuwa siwezagi kupiga...Maana ninaweza mchakaza mtu na nikaishia pabaya...

Fast foward tukashuka kwa Daladala tukatembea kama dakika moja hivii,Nilimtikisa vya kutosha bila kumpiga hata maana ningeweza kumuharibu kwa namna ninavyojua mimi...Nilimshika sana na kumtikisa huku ninalia kama mtoto mdogo na kumuuliza kwa nini aliamua kufanya hayo na kunisababishia pia kupitia a lot of problems kwenye marriege huku labda tungeju Intensity ya tatizo mapema ningekuwa tayari kupambana nae kama ningeweza maana kama niliweza kukubaliana kuwa nae kwenye mahusiano huku nikijua alifanya abortion tayari angeweza kunijali enough kunieleza ukweli na si kunificha kama kweli she really cared about me as much as nilimpenda yeye bila conditions

Asee nililia sana bila kujua namfanyaje pale,she was also crying kusema kuwa aliogopa kutokana na hiyo Idadi na nisingemuelewa lakini nikamwambia hukusaidia na ona tunaingia kwa matatizo ilihali intensity ya tatizo analijua yeye..Kiukweli nilikuwa down sana and so devastated..Tulikaaa njiani kwa almost 1hour wote soaking in tears na niko na hasira sana...Tukaelekea nyumbani,kilichoendelea ni kuvunja vikombe kwa hasira na kioo cha chumbani cha kujiangalia.....

Niseme tuu ni expirience katili sana niliyowahi kupitia maishani mwangu so far ila imenifunza sana,Bottom line nimemsamehe whole heartedly ila mambo hayako the same tena..Vingi vimebadilika lakini unajifunza kumove on na kuendelea...Good thing hata hospital walisema she can still conceive sema uvumilivu tuu,Nimempa chances lakini kiukweli kuna conditions nyingi sana...

Yote ya yote jifunze kupitia kisa changu,na wengine mnaotetea mtaelewa kutokana na yaliyonikuta mimi...nitakuwepo kujibu maswali yote ambayo pia mnaweza kuwa nayo...
Umri wako ukianza nae mahusiano haukuzidi 23 na mpaka kuingia nae ktk ndoa haukuzidi 27 ndo maana ulipoona tatizo ukaanza kulia na yeye akaanza kulia kwa lugha nyengine wote mkawa ktk dilemma aliyetoa mimba tatu anamsikitikia mgeni wa kutoa mimba japo ulikuwa na experience ya mimba ya bwana'ake wa mwanzo ndo maana hukuweza kuchanganua vizuri kutokana na utoto but ukweli na usemwe.

Kama mwanaume wewe umesha-fail sipo hapa kufanya unafiki wala kumfariji mtu nachokwambia una maisha magumu sana ya kimahisiano chini ya jua na vijana wote mnaopita kusoma hapa mjifunze njia sahihi za kutafuta wenza wenu.

By the way pole sana Mungu atakuongoza vyema.
 
Kaka naomba nikupe my expirience kuhusu hili suala la kutoa mimba yaliyonikuta Mimi especially niliyekuwa kwa ndoa..You all can learn pia kupitia mimi

My wife kabla ya kuanza uhusiano nae was a good friend of mine alikuwa na jamaa wake wanadate akapata mimba na akaona si kesi bora aichomoe tena kwa ushauri wa Marafiki na Dada zake yote hiyo ni sababu kuu cha kwanza ni kuogopa wazazi watasemaje..Lakini pili na kubwa jamaa wake alikuwa ana wanawake kama watatno anaotoka nao kwa pamoja na yeye akiwemo..

Mimi huwaga nina mentality ya kupotezea na wengine husema ya kizungu,nikasema yes she made a mistake so siwezi kumhukumu kutokana na alichokifanya as so long as amejifunza..So we started dating kiroho safi bila kuwaza na wala kumkumbushia kuwa ulitoa mimba hata siku moja bali nilikuwa nammind jamaa in a way ila nikapotezea na kusema ajali kazini

Fast foward we started dating na kwa kuwa tulikuwa wote kwenye hustles na tunashirikiana katika utafutaji wote tukaona si busara yeye kupata mimba..so i was very keen kwenye sex kwenye suala zima la kuwithdraw nikiwa nina cum so hakuwahi kuwa na wasiwasi wa mimba during kudate kwetu..

Baada ya miaka miwili na nusu nikaona why not get married kwa mtu ambaye she has been almost perfect kwa vitu vingi sana na ana mapungufu machache..so tukaingia kwa ndoa..Then after six months tukaamua tuanze tafuta mtoto kwa kila namna..Na hapa sasa ndo ikawa Interesting..Jaribu sana kwa kila namna for like a year,ila waapii..I was ready kusubiri na nilikuwa patient sana na niko nae bega kwa bega...Mama yangu Mzazi pia alikuwa na sisi bega kwa bega..baaada ya mwaka kupita akaanza kupata shauku ya kupata mtoto na anatamani kweli kweli Na mimi kwangu ikawa ni hivyo pia..

Tukaanza sasa officially kuhangaika nae kwa kuonyesha kila namna ya support kwake kwenye kutafuta suluhisho la tatizo lake,sihesabii gharama tulizotumia na usumbufu like ni almost around mil 5 kwa kuhangaika kwa madaktari bingwa hapa Dar yote na hata mitishamba ya kila namna..sasa ikawa imepita miaka 3 hadi hivii sasa hatujabahatika kupata mtoto..

Kubwa sasa ni juzi hapa tukaenda kwa Mtumishi mmmoja na kiukweli ingawa mimi haya mambo ya dini siamini lakini kwa kuonyesha support kwa mke tukaenda kwa huyo mtumishi na hapo ndipo ukweli ukadhihirika ambao umebadilisha kila kitu na uelekeo wa ndoa kwa ujumla..

Ilikuwa hivii,Mtumishi akamuuliza anhaa naona umeamua kuja na mume wako na ni jambo zuri sana...akasema ndiyo...Basi mtumishi akamuuliza na ndiyo kwanza anatuona kwa mara ya kwanza..Akauliza swali unahangaika na mnahangaika sana kupata mimba lakini mume wako anajua ukweli..???.Mi nilikuwa chilled na kusema aaaah kama ni kutoa mimba hilo nalijua alitoa mimba yes na niliridhia bila shida...akamuuliza swali jingine ni mimba ngapi ushawahi kutoa...Mi kwa kujiamini nikawa najua ni mmoja ila nikashtushwa na ukimya kwanza wake...Mapigo ya moyo yakaongezeka kwanza kwa sekunde zile 5 alizokaa kimya

Nikajisemea haraka mbona anasita tena..Then nikasikia akimjibu ni tatu(3) daaaaaah aisee nilipigwa na ubaridi pale na hasira zikanijaa lakini nikaact calm kwanza...Nikashusha pumzi lakini nikawa siamini lile jibu kutoka kwake...Na ndiyo ilikuwa muda tunaondoka so tukaingia kwenye gari tukawa tunaondoka eneo tulilokuwepo huku mtumishi akitupa lift..Nilibadilika ghafla nikawa nasikia baridi na kutetemeka kwa hasira sana sana...sijawahi kuwa na hasira toka nimezaliwa kama ile siku..

Tukashuka mtumishi akatuacha mitaa mitaaa.Akawa ananiangalia asielewe anaongea nini...Tulivyokuwa kituoni swali la kwanza nikamuuliza like why uliamua kujifanyia hivii kwa mwili wako and la pili nikamuuliza why did you choose to hurt me katika namna hii...I was so very hurt kiasi cha kwamba nimeapa sitofikia ile hatua kuumia namna ile..Tukapanda Daladala kuelekea mitaa yetu ya nyumbani lakini kwenye daladala natetemeka nina hasira sana na ninachokitamani ni kuvunja vioo vya gari kwa ngumi ili nitulize tuu hasira...huwaga niko hivyo,nikivunja kitu ni bora zaidi kwa kuwa siwezagi kupiga...Maana ninaweza mchakaza mtu na nikaishia pabaya...

Fast foward tukashuka kwa Daladala tukatembea kama dakika moja hivii,Nilimtikisa vya kutosha bila kumpiga hata maana ningeweza kumuharibu kwa namna ninavyojua mimi...Nilimshika sana na kumtikisa huku ninalia kama mtoto mdogo na kumuuliza kwa nini aliamua kufanya hayo na kunisababishia pia kupitia a lot of problems kwenye marriege huku labda tungeju Intensity ya tatizo mapema ningekuwa tayari kupambana nae kama ningeweza maana kama niliweza kukubaliana kuwa nae kwenye mahusiano huku nikijua alifanya abortion tayari angeweza kunijali enough kunieleza ukweli na si kunificha kama kweli she really cared about me as much as nilimpenda yeye bila conditions

Asee nililia sana bila kujua namfanyaje pale,she was also crying kusema kuwa aliogopa kutokana na hiyo Idadi na nisingemuelewa lakini nikamwambia hukusaidia na ona tunaingia kwa matatizo ilihali intensity ya tatizo analijua yeye..Kiukweli nilikuwa down sana and so devastated..Tulikaaa njiani kwa almost 1hour wote soaking in tears na niko na hasira sana...Tukaelekea nyumbani,kilichoendelea ni kuvunja vikombe kwa hasira na kioo cha chumbani cha kujiangalia.....

Niseme tuu ni expirience katili sana niliyowahi kupitia maishani mwangu so far ila imenifunza sana,Bottom line nimemsamehe whole heartedly ila mambo hayako the same tena..Vingi vimebadilika lakini unajifunza kumove on na kuendelea...Good thing hata hospital walisema she can still conceive sema uvumilivu tuu,Nimempa chances lakini kiukweli kuna conditions nyingi sana...

Yote ya yote jifunze kupitia kisa changu,na wengine mnaotetea mtaelewa kutokana na yaliyonikuta mimi...nitakuwepo kujibu maswali yote ambayo pia mnaweza kuwa nayo...
Viatu vyako vikuuubwa siwezi hata enea,daahh!pole sana kaka!ila kutoa mimba bwana acheni tu!

Ingawa kuzaa nako kabla ya ndoa kunaoneka kwio utakosa mume ,utadharaulika lakini ni bora kuliko hayo!

Ila changamoto ni wakaka hamuoi single maza ndo mnasababisha yoote haswaa wanaume wa kikristo ukiwa na mtoto mwanamke ndo ushachunda hvyoo,wachache Sana'a wadada wanaolewa na watoto ndo maana watu wanaamua kutoa ili tu aolewe.

Lakini Mungu tu soon watoto,inshallah...!!!
 
Wasichana walioniambia kutoka mdomoni mwao kuwa walitoa mimba walitoa sababu hizi each:
i) naogopa wazazi, baba ni pastor, nitawaaibisha
ii) Sina uwezo na kwetu hatuna uwezo
iii) sitaki connection na yule mwanaume
iv) naogopa kuwa single mother, nataka familia ya baba na mama

NB: wote walikataliwa mimba zao na walikuwa bado wako Kwa wazazi
 
Kabla sijachangia hoja..

1) Huyo binti ulikuwa na mahusiano naye kuanzia anaanza chuo?

2) Ulikuwa unamshona kweli au ulikuwa unaogopa udini wake kiasi kwamba aliamua kukutenda alivyoona wew hugusii masuala ya kikubwa!

Anyway msamehe ila sababu nitakupa baada ya kunijibu maswali hayo hapo juu
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba.

Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Kwahiyo unahalalisha uuaji kisa masomo?
Kama aliweza kuua kiumbe tumboni mwake unadhani atawahurumia ndugu wa mwanaume?
Hatamuua mume wake wakizinguana?
Huyo hafai kuolewa na mtu mwenye akili timamu
 
ni kweli haina mita ila unajaribu kumdadisi.... unajua kwann mwanamke aliyezoea kuachika hawezi heshimu ndoa hata siku moja
Kudadisi inategemea na muhusika mwenyewe. La msingi ni ukaribu, long distance relationship ni tatizo.

Muda pia ni muhimu, jipe muda, kama waweza dumu kwa ukaribu na mtu kwa zaidi ya miaka3 na bado hujamfahamu vizuri na ukaingia kichwakichwa hutokuwa na wa kumlaumu.

Suala zito kama ndoa si la kukurupuka.
 
Wanawake ni pretenders saana mkuu, a sisi kizaZi kipya tunajikuta ni wakisasa kuna vitu nyeti tunavipuuziaga ambavyo hutugharimu baadae.

ila ukweli ni kwamba unadate na mwanamke aliyevulia nguo kwa hiari yake zaidi ya ndume tatu hata akikaa miaka kumi atukumbushia tuu
 
Hisia tupu......Naona umeongelea swala la reaction...Anyway yaonekana unatoka kwenye jamii ambayo maamuzi hufanywa kwa Mihemuko.

Hakuna Mwanamke hapa jukwaani amekanusha kwamba utoaji wa mimba ni mbaya.

Msimamo wao ni Kutoku hukumu mtu kwasababu ya dhambi zake. Vinginevyo na wewe matendo yako yaekwe hadharani uhukumiwe.

Huu sio msimamo wangu tu au wanawake wale Ni msimamo mpaka wa MUNGU unayemwamini.

Nafikiri umeelewa.
Wewe nimekupuuza toka kurasa ya kwanza ya hii sredi, endelea kutafuta sifa kwa wanawake wa JF kijana!

Jiulize kwanini wengi ya wana ndoa ukiwauliza kama ingekuwa kama kuna nafasi ya kuoa tena, wapo tayari kuwaoa wenza wao wa sasa uone majibu yao! Ni kwasababu wengi walijifanya wajuaji kama wewe!

Kosa moja ni mwanzo wa kosa lingine. Kama hujaoa ni bora usioe kijana
 
Labda Nikuulize Swali....Mimba ni matokeo ya Nini?
Alilala peke yake kisha Asubuhi akajikuta nayo?

Huu mjadala kuna baadhi ya watu mnajiweka eneo la utakatifu kisha mnaweka HUKUMU bila kutazama pande zote.

Uhalisia ni Hivi Mwanaume akikataa Mimba yake hana tofauti na Mwanamke aliyeitoa Kwa sababu wote wanakwepa jukumu la Malezi.
Bro mwanamme kukataa mimba haimaanishi mdada anapaswa kutoa mimba, dhambi no dhambi tu haijalishi nn chanzo chake
 
Wanawake ni pretenders saana mkuu, a sisi kizaZi kipya tunajikuta ni wakisasa kuna vitu nyeti tunavipuuziaga ambavyo hutugharimu baadae.

ila ukweli ni kwamba unadate na mwanamke aliyevulia nguo kwa hiari yake zaidi ya ndume tatu hata akikaa miaka kumi atukumbushia tuu
Ni kweli kabisa, waigizaji wakuu.

Na hakuna aliyevuliwa nguo kinguvu, baadhi labda first time, ila waliendelea kuzivua/kuvuliwa kwa hiari.

Ila bado haizuii kuoa, unajipa muda, unachagua mwenye afadhali na ladha unayoipenda.
 
Back
Top Bottom