mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
- Thread starter
- #221
Daaaaah wewe jamaa wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa!Kudadisi inategemea na muhusika mwenyewe. La msingi ni ukaribu, long distance relationship ni tatizo.
Muda pia ni muhimu, jipe muda, kama waweza dumu kwa ukaribu na mtu kwa zaidi ya miaka3 na bado hujamfahamu vizuri na ukaingia kichwakichwa hutokuwa na wa kumlaumu.
Suala zito kama ndoa si la kukurupuka.
Hilo linawezekana kweli? Kabisa?Wanawake ni pretenders saana mkuu, a sisi kizaZi kipya tunajikuta ni wakisasa kuna vitu nyeti tunavipuuziaga ambavyo hutugharimu baadae.
ila ukweli ni kwamba unadate na mwanamke aliyevulia nguo kwa hiari yake zaidi ya ndume tatu hata akikaa miaka kumi atukumbushia tuu
Aisee
Mkuu jifunze kusamehe matendo ya nyuma. Inawezekana alitoa kweli ila watu wanabadilika. Wape wengine nafasi ya kurekebisha makosa yaoAisee
Mtoto mdogo huyu,anachong’ang‘ania yeye siyo tu kosa mwanaume kukataa mimba bali hata kukataa mimba hali ya kuwa huyo mwanaume anajua siyo mimba yake na huyo mwanamke wake ameshamwambia mimba siyo yake nalo kwake yeye ni kosa.Bro mwanamme kukataa mimba haimaanishi mdada anapaswa kutoa mimba, dhambi no dhambi tu haijalishi nn chanzo chake
Wee jamaa mjuzi sanaUmefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba.
Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Ok wewe ukifanya dhambi ni nini hufuata....Bro mwanamme kukataa mimba haimaanishi mdada anapaswa kutoa mimba, dhambi no dhambi tu haijalishi nn chanzo chake
Una changamoto sana kwenye namna ya kusoma kutafakari na kujenga hoja zako......Mtoto mdogo huyu,anachong’ang‘ania yeye siyo tu kosa mwanaume kukataa mimba bali hata kukataa mimba hali ya kuwa huyo mwanaume anajua siyo mimba yake na huyo mwanamke wake ameshamwambia mimba siyo yake na nalo ni kosa.
Yaani leo kwa akili zake mwanamke wake akimwita akamkalisha chini akamwambia “dear longii unajua nina mimba lakini siyo yako ehh,tena hii ni ya pili nilishapataga nyengine nikaitoa” basi yeye atamvuta taratibu am-hug kisha amkiss amwambie usijali mpenzi wangu tulia tufanye maisha hiyo mimba mimi nitalea na tutaowana hivyo hivyo.mkuu umeshapata picha ni mwanaume wa aina gani tuna-argue nae hapa?
Duniani wapo wazazi wamepata hasara ya uzazi Mungu apishe mbali
Niahitaji uonyeshe sehemu ninayosema Utoaji wa Mimba ni jambo zuri....Wapo pia wanaume mashoga wanaongozana nao,just imagine mwanaume kabisa kabisa na pumbu zinamning'inia yupo hapa anam-crush mwanaume mwenzake kwamba kwanini anaacha kuowa mwanamke kisa ame-cheat mara mbili alizokiri mwenyewe akapata mimba na akaenda kuzitoa.
Yaani kwao mchumba kugongwa na bwana mwengine siyo shida,kutoa mimba siyo tatizo nawasikitikia wazazi waliojikunja kuwazaa maana ni useless!
Kuna Jambo umeshindwa kulielewa mkuu Majina yote unayonipa ni muendelezo wa kutumia hiasia badala ya fikra Huru.....Kuna mtu nilimjibu hapa kwamba ukisoma toka mwanzo ninachosimamia mimi ni swala Moja tu na sijaegemea Upande wowote ( tofauti na Wewe)Mzee unatumia nguvu nyingi sana hapa kwani huyo aliyeachwa ni dada yakoo?wewe ni feminist wa kiume ain't you!!!
Nimekutana na gazette lako huko juu ulijaribu kuni-quote nimesoma soma hata sijakuelewa ila nataka nikuulize hii post ya mleta mada ambaye kwako wewe unamuona ni tatizo kubwa na siyo huyo dada yako uliisoma au ulipita macho juu juu ukitafuta conclusions zako?
Vaa viatu huyu ni mdogo wako au mwanao amekuja kukutaka ushauri akwambie mchumba wangu amenisaliti mara mbili akapata mimba zote akazitoa na akakiri mbele yangu ungemshauri hizi shudu unazoshusha hapa?unajikuta mwanaharakati kumbe kichwani mtupu watu dizain yenu kama taifa tunatakiwa kutafuta njia ya ku-deal na nyie maana hamjitambui,fungua link&angalia screenshot.
Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo
Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili. Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate...www.jamiiforums.com
View attachment 2052637
Vipi kwa upande wa Mwanaume?mwanmke aliyetembea na wanaume zaidi ya watatu kabla ya ndoa huyo hafaikuoa
Umenipuuza? Mbona umenijibu tena?Wewe nimekupuuza toka kurasa ya kwanza ya hii sredi, endelea kutafuta sifa kwa wanawake wa JF kijana!
Jiulize kwanini wengi ya wana ndoa ukiwauliza kama ingekuwa kama kuna nafasi ya kuoa tena, wapo tayari kuwaoa wenza wao wa sasa uone majibu yao! Ni kwasababu wengi walijifanya wajuaji kama wewe!
Kosa moja ni mwanzo wa kosa lingine. Kama hujaoa ni bora usioe kijana
Naheshimu ushauri wako ila kwa issues za namna hii huwa sisamehe.Mkuu jifunze kusamehe matendo ya nyuma. Inawezekana alitoa kweli ila watu wanabadilika. Wape wengine nafasi ya kurekebisha makosa yao
Halipo, ila nasikitika kusema hii haimaanishi nimsamehe, au huyu mwingine nitakaye date naye, nisimuache akifanya makosa kama haya. Samahani sana, ndio nimeshamuacha hivyo.Hata upigaji wa nyeto ni sawa na utoaji wa mimba..
Kukojoa nje pia ni uwaji wa watoto..
Uvaaji wa condom pia.
Vipi katika hayo kuna uliloepuka?
Ni kawaida kwako, sio kwangu. Kila mtu anaishi kulingana na malezi aliyopata. Mimi kwangu sioi na sitooa jitu ambalo lilitoa mimba, huo ndio uamuzi wangu.Utashangaa utakae muoa atakua katoa mimba kumi.
Kutoa mimba siku hizi ni kawaida...
Umemuacha ama umempumzisha?Halipo, ila nasikitika kusema hii haimaanishi nimsamehe, au huyu mwingine nitakaye date naye, nisimuache akifanya makosa kama haya. Samahani sana, ndio nimeshamuacha hivyo.