Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Hahah, ni kweli ningemtumia ipasavyo ila si kumfuja. Na hata ningemfuja ni mke wangu tayari, naye angeweza ni ruksa kunifuja. Kuhusu unafiki na ujuaji, ni kweli nipo hivyo, kulingana na mtu ameni face vipi. Ukija kistaarabu utapata uungwana na ustaarabu, ukija kipimbi na kijuaji nami nitakuletea ujuaji.

Ni gold digger kwani alikuwa yupo tayari aue ili aolewe na mimi, ninamjua kuliko umjuavyo. Ni vihela vyangu vilikuwa vinamtoa macho mpaka kufikia kutoa mimba 2.

Kifupi mimi ni mtu poa tena sana, hao niliowajibu huko juu kijuaji au kimajivuno ni kuwa walianza wao. Ukianza mimi namaliza, hii ndio slogan yangu.

Mwisho, jamii yangu inafurahia uwepo wangu, na nadiriki kusema hainioni kama wewe usiyenijua unionavyo kichomi.

Kikubwa ni 'heshimu uheshimiwe'.

Siku njema!
Akikujibu ni tag!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Tangu akiwa mwaka wa 1! Alikuwa ni miongoni katika moja ya madhebhebu ya kiimani ya chuo, wakati huo mimi nikiwa mwaka wa 3
Hao watoto wanaojifanya wanapenda sana kusali hua Wana matatizo sana...wanapewa mimba na viongozi wao wa kwaya....wakitoka hapo wanaenda kuoa watu wa sehem nyingine kabisa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wewe mwenyewe mkamilifu?. Tuanzie apo kwanza.
 
Helloooo wadau, mimi ni kijana ninayepambania maisha yangu kwa sasa, ya kimaendeleo. NILIKUWA na MPENZI wangu ambaye nilipanga nimuoe mwezi wa 2 mwakani, nimegundua aliwahi kutoa mimba akiwa chuo, tena mimba mbili.

Kwa alivyo mpole sikumdhania kabisa, amemaliza chuo mwaka huu na AME graduate, NIMEAMUA RASMI KUMUACHA NA KUSITISHA NDOA, AMEPIGA SIMU ZAIDI YA MARA 70 NIME MUTE.

Ahsante m ungu kwa kuniepusha na huyu gold digger!


Next time amkia wakubwa zako kwanza kabla haujaeleza shida yako

pia pambana na maisha achana na mapenzi bado mtoto mdogo sana

hili suala halina hata ushauri sema utoto unakusumbua sumbua tu
 
Mara nyingi kuliko zote walio toa mimba ni makatilisana/wana cheat sana/ wagomvi/ gold digger /hawabembelezi ndoa/wako juu ya mme/utapigishwa desh mpaka ukome japo chakula umenunua weye!!

hata ndani ya ndoa ni ivo tuuu!! makatiliii Hasa! hasa! wanao anzia na majina km haya Jacky, Lina, Mariamu, Maggie Happy nk!! hwa utakula msoto/kifo mpaka ukome!! hata ukiugua hawajali!
 
Kwa walio pita chuo, kutoa mimba ni kawaida sana.
Hawa ndio wife material wa zama zetu
 
Kama alikucheat tayari mkiwa kwenye uhusiano piga chini huyo.. Shukuru sana kwa kuyajua hayo mapema na Omba MUNGU upate mwanamke mwingine mwenye uafadhari wa majanga make wote hawajakamilika kila mwanamke na mapungufu yake..

Ataombaje Mungu na bado yupo kwenye uasherati. Mungu hachanganywi jaman anakupatia sawasawa na wewe ulivojiweka.
 
Mtaacha sana wanawake, ila Hilo ni jambo la kawaida hata aliyekuleta ukute alishatoa nyingi tu wewe hujui, hafu hata masturbation ni dhambi ya uuaji, soma biblia uone, hata hao wake zenu wa ndoa ndio vinara kwa kuchoropoa mkigombana mara kwa mara, acheni kujiona malaika nyie
Ni kweli masturbation Ni dhambi, ila inakuwaje mpaka inakiwa dhambi ya uaji?
 
Mtaacha sana wanawake, ila Hilo ni jambo la kawaida hata aliyekuleta ukute alishatoa nyingi tu wewe hujui, hafu hata masturbation ni dhambi ya uuaji, soma biblia uone, hata hao wake zenu wa ndoa ndio vinara kwa kuchoropoa mkigombana mara kwa mara, acheni kujiona malaika nyie
Sasa hayo ni maisha yake na mzee, siyo maisha yangu mimi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom