Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Sasa kwa wazoefu hutakaa ujue maana wao ni zaidi ya Mossad na hata huyo kukiri alikuwa hakupendi alitaka tu ukimbie zako
Ningekuonesha voice notes zake, na msg nahisi ungetetemeka. Analia anasema yupo tayari hata kunipa nyuma ili asiachwe, ila kwa kuwa siyumbishwa'gi' nimekataa.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa wazoefu hutakaa ujue maana wao ni zaidi ya Mossad na hata huyo kukiri alikuwa hakupendi alitaka tu ukimbie zako
Kifupi nadiriki kusema, hakuna msichana yeyote atakayeweza kunificha katoa mimba NA nisijue, hakuna.! Labda niamue tu kutotaka kujua.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba.

Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Ukiwa chuo ulifanya hayo?
 
Wanawake wengi tu hutoa mimba, ila hubaki na Siri moyoni, tena walioko kwenye ndoa ndio usiseme, so hapo sijaona kosa la kumwacha, hiyo ni mistake ya kawaida kwa wanawake ingawa wengi huficha hyo Siri.
Kuna dhambi hupaswi kusema it is btn you and your Lord ,unaposema kwanza kiimani sio nzuri pia ,yaani unaonesha kama kakibri Fulani hivi ktk hyo dhambi!
 
Shida ni unafiki tu bana hii kitu inafanyika sana tu so kuandika humu au kuwa mnafiki haiondoi huo ukweli kwa Imani yangu masturbation ni kosa sawa na kuua, ila watu hujadili humu, so my concern ni kuacha unafiki na wanaotoaga mimba huwa hawakiri hadharani eti nimetoa ukiona hivo hajatoa ni daganya toto tu hyo, so tusipende kuhukumu wengine Kwa vile sisi tunajifanya wema hatujakiri hadharani haiondoi hyo dhambi bana, wanawake asilimia kubwa ndio michezo Yao hyo hasa waliooa, chunguza tu
 
Nakuelewa sana tu usemayo hata hao wapiga puli ni wapumbavu wakianza kujisfu na wanakosea sana tu!

Ila bidada ni bora angekaa kimya tu bila kusema au kukubali maana inesababisha mwanaume asimuelewe na kumchukulia kama muuaji na hataki kumuoa tena
 
Hapo nakuunga mkono, upo sahihi. Hujatumia mihemko ya kihisia kama kwenye quotes zako zingine huko huu. Hapa umetumia akili, tofauti na quote zako za juu.

Pamoja na haya yote, mimi sikum cheat, japo hakuwa akiniridhisha katika vitu fulani fulani, nilivumilia. Ila yeye akani cheat, tena akapata mimba mbili na kuzitoa zote kimya kimya. Hiki kitu kwangu hapana, na hakina msamaha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Mzee jitahidi kukuza uwezo wako wa kuchambua Nimefanya marejeleo ya nilichozungumza toka mwanzo hiyo ilikua kama hitimisho kwenye insha.
Sijaibua jambo jipya....Kama umekubaliana na hitimisho hilo ni kwamba umeelewa nilishotaka uelewe.

Shukran Sana.
 
Sasa kutoa mimba na kua gold digger kunahusiana na nini, lol

Ila bro kupitia majibu yako inaonesha kabisa Mungu kamuepusha huyo manzi na kichomi [emoji2960], Yaan angeolewa na wewe huyo sister alikua anaenda kufujika na kuchakaa me nakuchana live,[emoji16]

Una ubinafsi, una nongwa, una ujuaji na unafki sina shaka kabisa huna maelewano na jamii inayokuzunguka,

Sema nini, athari za makuzi, me nakuelewa mbona.
 
Babe mzima?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hahah watu kupenda attention za kijinga basi wame side na madem wa JF

Peleka kwenu mwanamke halafu mwambie mzee huyu mchumba wangu kashatoa mimba mara mbili tukiwa kwenye mahusiano, tena waambie kwamba hizo mimba zote sio zako then subiri reaction ya wazee wako 😂

Mnataka kufurahisha madem ikiwa mnajuwa fika mkiwa wahusika nanyi mtafanya kama alichokifanya mtoa mada.
Hisia tupu......Naona umeongelea swala la reaction...Anyway yaonekana unatoka kwenye jamii ambayo maamuzi hufanywa kwa Mihemuko.

Hakuna Mwanamke hapa jukwaani amekanusha kwamba utoaji wa mimba ni mbaya.

Msimamo wao ni Kutoku hukumu mtu kwasababu ya dhambi zake. Vinginevyo na wewe matendo yako yaekwe hadharani uhukumiwe.

Huu sio msimamo wangu tu au wanawake wale Ni msimamo mpaka wa MUNGU unayemwamini.

Nafikiri umeelewa.
 
Sasa kutoa mimba na kua gold digger kunahusiana na nini, lol

Ila bro kupitia majibu yako inaonesha kabisa Mungu kamuepusha huyo manzi na kichomi [emoji2960], Yaan angeolewa na wewe huyo sister alikua anaenda kufujika na kuchakaa me nakuchana live,[emoji16]

Una ubinafsi, una nongwa, una ujuaji na unafki sina shaka kabisa huna maelewano na jamii inayokuzunguka,

Sema nini, athari za makuzi, me nakuelewa mbona.
Kama taifa inabidi tuanzishe kampeni za kutoa huduma za matibabu ya kisaikolojia hali ni mbaya sana Mkuu
Hawa raia wamechanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom