Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi




Aaah wapi thubutu yake!

Wee jichanganye tu mwanangu kwa kusema alikuanza wewe wakati umefanya kumtega weee!

Utawajibishwa kwa uovu wako [emoji108]

Na kwa sababu nitakuwa upande wa haki iwe kwenye ulimwengu halisi , wa Nuru au Giza inaheshimu sana haki ya asili basi ujiandae kwa funzo la Mwanaukome [emoji123][emoji108]

Usiombe kushika pabaya!
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia
 
Endelea kumuona kama takataka muda tu utajua kati ya yeye na wewe nani takataka, unaonekana huna heshima kwa mumeo ndiomaana ameamua kuishi kwa dada wa kazi.

Kizazi umepeleka wapi? Unataka akaena wewe milele watoto mkanunue sokoni au? Anafanya kazi ili kazi yake iwe na faida anahitaji watoto, alee, asomeshe kama watu wengine.
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia
Dah pole mpenzi wanaume ndo walivo ...... wanawake tunapitia vitu vingi sana
 
Mwanaume ikifika kwenye eneo la Papuchi huwa anakuwa hana sense yaani Hakuna akili hapo. Kwahiyo kwa ushauri wangu msamehe tuu huyo ni mume wako.
 
House girl katoa uchi wake mwenyewe wewe unazimia?Una akili kweli wewe?kama ni ndoto amka uendelee na mambo yako,kama ni kweli muache aendelee kutumika,nawe naomba namba zako una nidhamu sana unanifaa!

[emoji23][emoji23]
 
Wanasemaga “A woman will always find a reason to cry”

Wewe mumeo anakupenda mnapendana furaha ipo ndani, sio bure ni mwanaume kaamua kupotezea hali yako ya kutokuzaa kwa kujipooza na beki 3.

Umeona haitoshi ukaamua kupekenyua na simu kabisa.
 
mhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…