Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Ila funzo kubwa ni wadada kazi nao waheshimiwe. Yeye pia ana privacy yake, why utumie uboss wako na hela yako kutaka kufanya lolote unalojisikia ktk maisha yake?

Kisa wewe ni boss, basi ndo ukimuona ana chat anafurahi, roho inakuuma ukataka ujue anachat na nani, kana kwamba hastahili kufurahia life.

Yes,ni tit for tat, thats Karma Kamama. Harafu ukiona mwanaume anakula mdada wa kazi,Most of time jua dada ana mpa better treatment [emoji16].

So, Huyo uliyesema Ngombe utaachana naye au?? Ila jua tu, hawezi kuacha kumpelekea moto, HG ( Mecury)
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Nimefanya kazi na mume wangu pia, anafanya kazi serikalini, kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi.
Siku utakapomkuta amebeba mtoto kafanana na mumeo ndio utajua alimpeleka wapi.
Binti wa kazi ni msaidizi wako.
Chagua msaidizi mwema.
 
Umri wako tafadhari
Sasa huko kutakuwa ni ku-fake maisha!

Kwanini watu wasiishi maisha halisi bila hila?
Maisha tuna feki vitu vingi tu; kwani ni kwanini tunavaa nguo? Si nikuficha UCHI? Kuna mtu hajui kama wewe unao uchi au laa? Huko nako ni ku feki tu mkuu; wengine wanavaa nguo nzuri sana, yaani gharama za nguo kwake ni kubwa sana tu kwasababu ya nature ya kazi yake, anatakiwa kua smart, by doing so anaonekana kama ni mtu mwenye fedha zake, kumbe masikini ya Mungu wala, huko nako ni ku feki maisha. Narudia; kama kila mtu akitulia na simu yake, maisha ya dunia yatakua salama sana
 
Uko uvunguni kuna mwanya wa kuona hadi nje ya chumba au uliona kama ananyonywa MB0001 au MB10 au GB1
 
Pole sana sana

Hiyo ni changamoto

Pia samehe

Huo ni udhaifu wa mumeo

Tafuta jinsi ya kumwokoa mumeo katika tabia usizopenda

Kwa msaada au ushauri zaidi

Wasiliana nami kwa

0768977816
 
Sasa kama ulizimia Chini ya uvungu, wao walijuaje kama kuna mtu?

Ungeiweka vizuri hii ingenoga zaidi.
 
Mbona kama umefurahia sana miguno na unyonyaji wa con[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulijuaje mdada ananyonya mdude wa mumeo ukiwa chini ya kitanda, mtupunguzie stori za ubunifu humu ndani, leteni visa halisi tujifunze experience mbalimbali za maisha
 
Mimi ndio maana vitanda vyangu vyote huwezi ingia chini ya uvungu.
Sasa uliwaonaje wakifanya yao....na wao walijuaje umezimia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…