Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Ni story niliyowahi kusimuliwa na mhusika kitambo sana japo haikwisha hivyo. Wahusika halisi walioana na wanaishi hadi leo. Yaani boss anaishi rasmi na wanawake wawili.
 
Huyo wa kwanza ni dada wa kazi, huyo wa pili ni wewe hapo unategemea nini? [emoji23][emoji23] Alafu sio Selekalin [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]
Serikalini [emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514][emoji3514]
 
Sema we nawe sijui unafeli wapi!!

Mahaba na mautamu wayafurahie wengine, kuzimia uje kuzimia wewe... wapi na wapi!!

Kilichokufanya uzimie wala sio "kushuhudia" live bali wivu wa kuona jamaa wana-enjoy kiwango cha SGR+... hapo ndo nongwa ikaanza!!

Sio vizuri hivyo...
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu nakunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekalin kwaiyo nyumbani kwetu tunaishi namfanya kazi.
Pole sana
 
Inaonekana huyo Dada kakuzidi sana kwenye mahaba kuwa m'bunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…