Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Nimegundua Mume wangu ana uhusiano wa kimahaba na dada yetu wa kazi

Wazo zuri Nina mke miaka 15 Sasa sijawahi shika simu yake.
Mwanamke ndiyo hatakiwi kugusa simu ya Mumewe, wwe Mwanaume lazima hiyo simu ya mkeo ifuatilie zaidi kwa usalama wako!!
 
Pole aisee, mi kati ya vitu nilishajiapiza ni kumvunjia heshima wife kwa kutembea na mdada wa kazi. Ntakua nimemshusha sana,niliwahi pita na ndugu yake mmoja hivi ni piece moja kali sana na sikujilaumu sababu ni viwango vya wife
Kwaiyo house girl cio binadamu, vip kama uyo house girl angekuwa pisi kali kuliko wife wako unge lala nae?
 
Mambo zenu, mimi nimeolewa sijabahatika kupata mtoto mume wangu ananipenda tu na kunijali pia. Mimi nimefanya kazi na mume wangu pia anafanya ya selekarini kwahiyo nyumbani kwetu tunaishi na mfanyakazi.

Tukiwa tunatoka Asubuhi tunatoka wote mimi na mume wangu ananiacha kazini kwangu yeye anaenda kazini kwake na jioni anapitia tunarudi nyumbani, hayo ndio maisha yetu ya kila siku baisi maisha yetu ya furaha na amani ndani ya nyumba yetu.

Basi wala hakuna maugomvi Sasa hapa juzi jioni nimetoka kazini nimekaa na mdada wa kazi alikuwa busy na kuchati Basi nikasema ngoja nimtume kwa kumshtukiza

Basi nikafanya hivyo halafu yeye akanyanyuka kwa kuogopa nikamwambia hebu nenda dukani mara moja akata kuondoka na simu nikamwambia hebu acha simu hapo kimbia, hakubisha akaacha mimi Tena nikachukua simu yake nikaanza kusoma msj kumbe bwana anachati na mume wangu Mambo ya mapenzi.

Jamani nyinyi acheni tu kumbe mume wangu anavyonishusha mimi kazini kwangu anaenda kazini kwake anaweka saini anarudi nyumbani, nyinyi ajue Mungu jinsi mume wangu anavyonijali sijawahi kuamini kama anaweza nifanyia haya Basi bwana mimi nikaiweka simu yake Wala nikaendelea kuangalia TV.

Kama Sina ninalojua akarudi akaleta nilichomtuma akaingia ndani mimi nikainuka nikaandaa meza Nikamuita mume wangu na dada wa kazi wakaja tukakaa mezani tukala. Mimi napenda Sana matani nikawatania pale tukacheka Sana Yani Kama vile Sina kitu najua nikaingia ndani kwangu nikaoga nikaingia kitandani nikalala.

Mume wangu nae akaja tukalala akataka chakula chake Cha usiku nikampa tukalala langu rohoni jamani Basi Asubuhi tumeamka dada kashaandaa kifungua kinywa tukanywa tukawa tunaenda kazini na mume wangu,

Kama kawaida nikamwita dada nikamtuma mbali Sana Yani Basi ss tukaondoka zetu kazini nimefika eneo langu kazi mume wangu akanishusha yy akaenda kazini kwake na mm mda huo huo nikamwita boda boda fasta nikamwambia anipeleke nyumbani.

Basi boda akafanya Kama nilivyomwambia muda tu nipo nyumbani nikamlipa boda nikafungua mlango nikaingia ndani nikaufunga Kama nilivyoukuta nikaingia ndani nikaa kidogo mara nikamsikia dada anarudi nikaingia ndani kwake nikaingia uvungu wa kitanda chake kimya.

Yeye kaingia akawa anaongea na simu kwa mahaba jamani anaongea na mume wangu anamwambia tayari kasharudi Basi mume wangu sijui alikuwa anamchekesha nini anacheka sana mdada Basi mara kukaa kidogo nasikia muungurumo w a gari mume wangu kaingia.

Basi jamani kapokelewa pale na mahaba motomoto Basi mume wangu akaanza kumbusu kushikashika mda mpaka ndani kwa mdada wa kazi wakaanza mahaba yao mdada kashika dudu la mume wangu akaanza kunyonya mume wangu anaugumia Kama ng'ombe kanyang'anywa mwanawe jamani mimi nimejilaza tu moyo unavuja damu tu uko chini.

Basi wakaanza kufanya mapenzi jaman mdada anavyonungunika kwa mahaba mume wangu maneno anayotoa jaman nilishindwa kutoka kule uvunguni nikajikuta nazimia sikujua Tena kinachoendelea nimekuja kujistukia nipo hospital, naamka namkuta mume wangu yupo pembeni yangu analia.

Naangalia mkononi Nina madrip nikakumbuka kilichotokea nikaliaa Sana nikamwambia mume wangu kabla sijatoka apa naomba uyo dada wakazi nisimkute maana nitamuua akaondoka, mimi nikaa hospital yy akarudi nyumba akamuondoa huyo mdada Sasa sijui kamrudisha kwao au kampeleka mahali, Yani mimi na ww sijui .

Yani hapa Sina raha mume wangu namuona Kama takataka Yani sijui hata nifanye nini mimi hakuna ndugu yangu Wala rafiki yangu anaejua hili naombeni mnipe faraja na ushauri ulio sahihi nifanye nini ndugu yenu.
Atakuwa kampangia ilitokea kwa jirani yangu mwaka 2014,
Mke akajua ndo yameisha kumbe kampangia 🤣🤣
Kwanini umuue msichana wa kazi usimuue mmeo?
Mwambie msichana akufundishe mautundu we si ulishuhudia mmeo analia lia kwa utam
 
Cha msingi asali imepatikana kula basi, ukianza kufuatilia mlolongo wa utengenezaji wake utaichukia bute. Ila pole kiongoz
 
Atakuwa kampangia ilitokea kwa jirani yangu mwaka 2014,
Mke akajua ndo yameisha kumbe kampangia [emoji1787][emoji1787]
Kwanini umuue msichana wa kazi usimuue mmeo?
Mwambie msichana akufundishe mautundu we si ulishuhudia mmeo analia lia kwa utam


Kwani amebakwa?

Kwanini hakukataa?

Inamaana hata kaka yake tumbo moja au baba yake mzazi angemtaka angekubali sababu ameanzwa ?

Atawajibishwa kwa uovu wake !

Wote wanastahili adhabu kali!

Wapewe funzo!
 
Kwani amebakwa?

Kwanini hakukataa?

Inamaana hata kaka yake tumbo moja au baba yake mzazi angemtaka angekubali sababu ameanzwa ?

Atawajibishwa kwa uovu wake !

Wote wanastahili adhabu kali!

Wapewe funzo!
Anza na mume wako ndiye kamtongoza.
Ukifumania mwenzako ana mtu wako, deal na mtu wako ndiye ambaye kakusaliti akijua yuko kwenye ndoa lakini kaamua kwa hiari yake kukusaliti. Yeye ndiye inabidi aheshimu ndoa yenu sio thirdparty.
Sasa badala uanze kuua huyo mumeo ambae amekudowngrade mpaka chini akaona wewe mke wake ambaye kakuoa kwa mahari huna thamani unataka eti umuue housegirl.

Sio baba yake wala kaka yake ndio maana kakubali.

Anza kumwajibisha mumeo kwanza mbona hujathubutu kumuua?
 
Yaani hapo lipiza tu kisasi. Tena lipa haswaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kila mtu akitulia na simu yake, hi dunia itakua mahali salama sana pa kuishi; ukimchunguza sana kuku au nyuki hakika hutakaa ule nyama ya kuku au asali.
 
Kama kila mtu akitulia na simu yake, hi dunia itakua mahali salama sana pa kuishi; ukimchunguza sana kuku au nyuki hakika hutakaa ule nyama ya kuku au asali.


Sasa huko kutakuwa ni ku-fake maisha!

Kwanini watu wasiishi maisha halisi bila hila?
 
Back
Top Bottom