Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Yani mtu unifuate unambie nataka Tigo kwani nyumbani kwao si kuna wanawake si aende akamle mama ake, dada zake, shangazi zake na wadogo zake balaa lake likae ndani ya familia yake na sio kwa familia za wengine akija huyo matakrooo nitag
hata uandishi wako tu unaonekana ni yale madada mashambenga yaliyoshndikana. Nina uhakika marinda huna yan uhakika kbs ushahidi ninao, mnuka papa wewe.
 
Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa
Acha kuzunguka, umeliwa mtandao wewe.
 
Ndio limevimbiana lkn haliwezi kufikia lako bwabwa ww Mie nmeanza Leo bado inabana we mjomba ako alikuanzishia utotoni unadhani ntashindana na paka shume k ww jiko la jera kila ukuni unaingia
 
Huu uongo. Ataombaje vitu kama hivi kwenye simu? Na kama ni kweli wala huhitaji kumuacha mumeo kwa ajili ya hilo, muache kwa kuwa hata akili timamu
Kwaivo we unaujua ukweli tofauti na mhusika anavoeleza? Yaan hayo mambo yapo wanaume zetu wengi siku hizi wanatoka nje sababu ya mi*k*n*d*u ya wadangaji jamani
 
Mi kwa ushauri wangu bora na wewe uumpe ili atulie.

Huo mchezo ukipata wanaume tunaojua kuwaandaa vizuri wadada kabla ya kula jicho mbona utaenjoy

Kizuri kula na mumeo
Una balaa kijana
1664943905280.jpg
 
Shida hayo mambo ni sexuality zaidi ndugu .
Ikiwa tayari ushamueleza mara nyingi lakini muafaka haukufikiwa basi hapana namna , nimeona katika ID yako umri wako kuwa ni 52 years sidhani kama ni umri sahihi wewe kuendelea kugombana naye kwaajili ya mambo hayo

Mueleze huwezi shiriki naye tena ila huwezi kuondoka hapo kwa maslahi mapana ya familia ikiwa mna watoto

Hivyo wewe tunza watoto na yeye mpe nafasi aendelee na utaratibu wake ila akae ajue hauko tayari kushiriki naye tena.

Kubadili hiyo hali yake ukwelu ni kuwa hauwezi ila kukubaliana na hali yake ili uendelee na maisha yako ya furaha na amani na wanao .

Usisahau kuifanya siri ya wewe na yeye hata watoto wasijue ili jamii isiwaone wa ajabu wote.
Pole sana mama.

TEKERI
Umeandika vizuri Ila ID yake Sio miaka 52

Kutoshiriki nae tendo la Ndoa ni sawa maana Km anakula tigo maanake yuko more at risk ya kupata magonjwa ya zinaa

Kisha kukaa na mtu aliyekua mpenzi wako unajua anafanya sivyo huko nje sidhani Km ni healthy unaweza kumuua bure kwa kinyaa… psychologically it’s damaging to yourself

Kama unajiweza watoto ni wakubwa mimi nakushauri sepa kukaa kwenye mazingira kama hayo ni guarantee happiness yako unaipoteza

Kama hujiwezi ku support yourself ama watoto ni wadogo then that’s the price you have to pay I’m afraid. Ila kwenye hili nakushauri kutoendelea kushiriki nae tendo.
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Pastor kuna ushuhuda huku......
 
Back
Top Bottom