Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Kila mja hapa naona anakemea tendon LA huyo jamaa ,Ila ukweli ni kuwa mambo haya ya kula mpalange yamezagaa kitaa baada ya kingine ,wanasema wako discovery phase wanaofanya hivo ....wanaokwambia suluhu ni talaka wanakudanganya ,ukweli ni kuwa hata huyo atakayekuja ukimtaliki huyu atakuwa na mapungufu either muongo ,mwizi ,Malaya etc , so usimwache ukiwa na dhana ya the grass is greener on the other side ....Hilo jambo linakera na ni uchafu mtupu Ila siyo jambo yakufanya utoke tu kwa ndoa hivo tu , ukizingatia umeinvest so much of your time kwa hyo ndoa , ndoa nyingi huku nje zinapitia so many challenges tungeanza kutapika yote ungeshangaa ushtuke yako ni madogo tu .
Huyo bingwa umekaa naye for long unamjua ndani na nje hakuna kitu mmefichana hapo mlipo ,kwa hyo mbinu za kufanya au kumshurutisha aache wazijua mwenyewe ....suluhu unalo ww mwenyewe
SAHII kabisa,
Ila sijaona Mahal mtoa mada kasema jamaa Kuna mahali alimuomba nyuma.

Zaid zaid aligundua jamaa huwa anawaomba Michepuko wake.

Kitu ambacho jamaa anajua kwa mkewe kwa mpalange hawezi kufanya/kupata.
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Na wewe mpatie muense sawa
 
Kama hajakuomba wewe Basi jua anakuheshimu na anakupenda hataki kukufumua marinda kwa maslah mapana ya familia yake.

Hao michepuko Hana maslahi nao,
Wanafyonza pesa zake, dawaYao Ni kuwafumua mpk marinda kufidia thaman halisi ya mizinga anayopigwa wajue ukitaka kula lazima uliwe.

Much respect kwa mumeo[emoji120]
Mkuu umekuja kwamadiliko mengine nn kwa mam j wetu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom