Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Chunguza tena vizuri lazima utagundua na yeye anafanywa. Narudia chunguza kwa makini na kwa muda mrefu utagundua hili. Anayefanya nyuma pia hutokea baada ya muda na kuanza kufanywa.
Sio kweli!
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Mbona ishu ya kawaida sana hio ndogo inauliziwa siku hizi, kama hutaki umajisepea, na kama wewe huna tabia za kuchepuka achana na ndoa hio mapema sana. Pia Kwa mwanaume kuacha kule Ile ndogo no ishu rahisi sana
 
Too bad indeed!ongea nae tu maana kumwacha huwez kutokana na maelezo yako!!!sisi wanaume tuna mapungufu hivo huez pata ambae ni perfect,"siku hizi watu hawaachani"obheja mayo
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
pole sina ushaur mimi
 
Ndoa Zina mitihani hizi,mi nakushauri acha kushiriki naye tendo madam ye kaona ndio starehe yake akaendelee huko ukiendelea atakuletea maradhi,Baki hapo ili kumsitiri tu pamoja na kulea watoto.Akilazimisha tendo Basi chukua tu talaka
 
Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea.inaniuma sanaa
Basi ameshazoea huyo. Wewe anakuheshimu au kukuogopa ndiyo maana hakuombi. Kama ameshajenga tabia kama hiyo kuiacha tena ni vigumu. Msg uliozonazo ni ushahidi tosha.
 
Haka kamchezo naona kameshamiri sana. Shukuru Mungu kwamba yeye haliwi, maana watu wanasema siku hizi wanaume nao wamekuwa shida sana.

Ongea nae myamalize, bahati mbaya baadhi yenu mnapenda hiyo michezo, lakini pia baadhi ya wanaume wanahusudu sana.
Ngoja niwape siri moja. Dar huu mchezo upo sana sana. Waunaume wengi wenye wake hawawaombi wake zao kufanya huu uchafu. Wanawake wengi wanaofanywa hivi ni vimada, wake za watu wengine au machangudoa, au mademu ambao jamaa hawana nia ya kweli ya kuoa. Inakuwa ni kama kuwakomoa hivi.
 
Muombee kwa mungu amuondoe kweny hyoo zambi, pia jaribu kumpa maandiko yanayoo kataza hyoo zambi, pia kuwa nae karibu usimtenge kabsa

ANGALIZO ;
ukifanya nae mapenzi asikuweke dog style kwasababu anaweza chagua tundu ambalo sio sahihi
Yaani mtu na akili zake timamu anaenjoy starehe zake nihangaike kumuombea na kudhinda njaa kisa aiseeh aendelee tu
 
Haka kamchezo naona kameshamiri sana. Shukuru Mungu kwamba yeye haliwi, maana watu wanasema siku hizi wanaume nao wamekuwa shida sana.

Ongea nae myamalize, bahati mbaya baadhi yenu mnapenda hiyo michezo, lakini pia baadhi ya wanaume wanahusudu sana.
Nakuhakikishia wanaume wanaofanya wake zao wa ndoa namna hii ni wachache sana. Mchezo ni vs numba ndogo, vs machangudoa, vs wake za watu, vs mademu wanaojiachia kirahisi, na wanaume wengi wanafanya hivi ili kuwakomoa.
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Mtoa mada mumeo anafanywa au anafanya?!
 
Ndoa kama ni ya kanisani inatenganishwa na kifo au uzinzi. Sababu za kuvunja ndoa unazo kabisa. Zungumza na mwenzio kama mnataka kuendelea na ndoa endelea kama unataka kusimama ni sawa pia. Uamuzi wowote utakaoufanya uwe tayari kulipa gharama.
 
Back
Top Bottom