Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Pole sana..

Nakushauri jitenge naye na achana naye kuhusu kuolewa tena Mungu yupo atakupa mbora zaidi yake
 
We alishawah kukuomba au ulishawah kukufanya?
 
Aiseeh pole sana kwanza, muulize kama anapewa huko nje ni afadhali tu ukae pembeni. Move on na pole sana kuna mambo mengine sio ya kupepesa macho hata kidogo.
 
Mhhhhhh aiseee una moyo
Hata haihitaji moyo, kama mdada ana kalio kubwa, laini, lenye rangi na shape nzuri, kwanini nsimwingizie ulimi wangu kwenye tigo yake, kama mdada hana magonjwa ya ngono, minyoo, cholera, hepatitis, hilo tendo ni salama kabisa kiafya kwa asilimia 98%

Na Nimegundua wanawake wengi sana wanapenda kunyonywa tigo ila hawawezi kiri hapa Kalpana
 
Hapo sasa daaah kwahyo unashaurije? Nikimfuma live na ushahidi juu niombe talaka au sio
Kabisa weee nyanyua vilago vyako chukuwa na watoto zako kabisa sepa. Hamna mjadala. Unaishije na mwanaume mfiraji na ukajitapa mbele ya umati kuwa wee ni mke wa mtu?
 
Hata haihitaji moyo, kama mdada ana kalio kubwa, laini, lenye rangi na shape nzuri, kwanini nsimwingizie ulimi wangu kwenye tigo yake, kama mdada hana magonjwa ya ngono, minyoo, cholera, hepatitis, hilo tendo ni salama kabisa kiafya kwa asilimia 98%

Na Nimegundua wanawake wengi sana wanapenda kunyonywa tigo ila hawawezi kiri hapa Kalpana
Ukweli mtupu
 
Kwa hiyo mumeo kuwa na michepuko wala siyo issue kwako ila yeye kuwadonoa puru ndiyo inaleta kizaazaa.

USHAURI:Kama huwezi kumuacha,kaa mbali na simu yake!
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.

Anagongwa au anagonga?
 
Shida hayo mambo ni sexuality zaidi ndugu .
Ikiwa tayari ushamueleza mara nyingi lakini muafaka haukufikiwa basi hapana namna , nimeona katika ID yako umri wako kuwa ni 52 years sidhani kama ni umri sahihi wewe kuendelea kugombana naye kwaajili ya mambo hayo

Mueleze huwezi shiriki naye tena ila huwezi kuondoka hapo kwa maslahi mapana ya familia ikiwa mna watoto

Hivyo wewe tunza watoto na yeye mpe nafasi aendelee na utaratibu wake ila akae ajue hauko tayari kushiriki naye tena.

Kubadili hiyo hali yake ukwelu ni kuwa hauwezi ila kukubaliana na hali yake ili uendelee na maisha yako ya furaha na amani na wanao .

Usisahau kuifanya siri ya wewe na yeye hata watoto wasijue ili jamii isiwaone wa ajabu wote.
Pole sana mama.

TEKERI
Asante sana nashukuru kwa ushauri. Ni kweli najitahidi sana kutokumwambia mtu maana naona watamdharau lakini sasa namna ya mm kukubaliana na hali ili jiweze kuendelea na furaha maishani ndo changamoto. Kila unapojaribu kujisahaulisha yanajirudia kuchwani.
 
Back
Top Bottom