The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sema umegundua mumeo ni choko na anabanduliwa..Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.
Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.
Asanteni.
Mbona wanalaumiwa wanaobanduluwa na sio wabanduaji?
Siwezi tia limwanaume afu mkdn ni uchafu.