Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Ndio haya mambo kila siku mnakatazwa kufukunyua simu za watu hamsikiii.....! Sasa unalalamika nini .....? Hichi ndicho ulicho kuwa unakitafuta haya sasa umekipata furahi sasa.
Hujielewi na hujaelewa ninatotafuta hapa so better keep quiet [emoji2958] . Aliyekuambia nilifukunyua nani? Kama alinipa nimpigie mtu simu the sms ikapop na kuonyesha content utajuaje.[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Walioelewa wanatoa ushauri.
 
Pole sana dadangu hili jambo ni gumu sana.Kama unavosema inatia sana kinyaaa pia.Hapo talaka ndo suluhisho kwa sababu kwa dini zote hili jambo halitakiwi na ni dhambi mbaya sana.
Naunga mkono hoja
 
Mtu akiomba ushauri kuhusu ndoa yake, ni vyema tusishauri lolote maana anataka tu lile wazo alilonalo kichwani liungwe mkono na wengi, na hata lisipoungwa mkono atafuata anachoona sawa kwake, hata tukitoa ushauri mwezi mzima.

Muhimu, mwanandoa yeyote hufanya maamuzi anayoona sahihi kwake na mustakabali wa ndoa yake bila kushirikisha yeyote.

Utasikia tu, "nimeamua kumsamehe mume/mke wangu tulee watoto", "tumeachana na mume/mke wangu".
Ni mawazo yako. Usilazimishe yawe mawazo ya wote
 
Habari, nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Wanamtoboa SPIKA?
 
Mtu akiomba ushauri kuhusu ndoa yake, ni vyema tusishauri lolote maana anataka tu lile wazo alilonalo kichwani liungwe mkono na wengi, na hata lisipoungwa mkono atafuata anachoona sawa kwake, hata tukitoa ushauri mwezi mzima.

Muhimu, mwanandoa yeyote hufanya maamuzi anayoona sahihi kwake na mustakabali wa ndoa yake bila kushirikisha yeyote.

Utasikia tu, "nimeamua kumsamehe mume/mke wangu tulee watoto", "tumeachana na mume/mke wangu".
Ni mawazo yako. Usilazimishe yawe mawazo ya wote
 
Sijaona ushahidi wa maana kuwa mume wako anashiriki mapenzi hayo zaidi ya kusema umeona sms, sms haimaanishi kwamba alipewa.

Taratibu zipo za kufuata 1: ongea nae ili akudhibitishie kama kweli anafanya hivyo na umkataze, 2: ni kufanya mazungumzo na ndugu zenu wa karibu..3: kwenda baraza la usuluhishi
 
kuna braza wangu wa mtaani alinihadithia alikuwa na rafiki yake ameoa Sasa yule rafiki yake akawa anamuomba huo mchezo mkewe .mkewe alipoona fujo zimezidi akamtafuta yule rafiki yake akamwambia rafiki yako ananiomba huo mchezo naomba umkanye.
Yule braza aliniambia alishikwa na ganzi kwanza maana ni Jambo zito.ila alimuita rafiki yake na kumsema na kuahidi hatorudia Tena.
Kikubwa kuwa na msimamo ukiona anazidi mpeleke kwa wazazi wake ukishindwa unaruhusiwa kudai TALAKA.
Asante kwa mfano na ushauri pia.
 
Kila mja hapa naona anakemea tendon LA huyo jamaa ,Ila ukweli ni kuwa mambo haya ya kula mpalange yamezagaa kitaa baada ya kingine ,wanasema wako discovery phase wanaofanya hivo ....wanaokwambia suluhu ni talaka wanakudanganya ,ukweli ni kuwa hata huyo atakayekuja ukimtaliki huyu atakuwa na mapungufu either muongo ,mwizi ,Malaya etc , so usimwache ukiwa na dhana ya the grass is greener on the other side ....Hilo jambo linakera na ni uchafu mtupu Ila siyo jambo yakufanya utoke tu kwa ndoa hivo tu , ukizingatia umeinvest so much of your time kwa hyo ndoa , ndoa nyingi huku nje zinapitia so many challenges tungeanza kutapika yote ungeshangaa ushtuke yako ni madogo tu .
Huyo bingwa umekaa naye for long unamjua ndani na nje hakuna kitu mmefichana hapo mlipo ,kwa hyo mbinu za kufanya au kumshurutisha aache wazijua mwenyewe ....suluhu unalo ww mwenyewe
Asante
 
Haka kamchezo naona kameshamiri sana. Shukuru Mungu kwamba yeye haliwi, maana watu wanasema siku hizi wanaume nao wamekuwa shida sana.

Ongea nae myamalize, bahati mbaya baadhi yenu mnapenda hiyo michezo, lakini pia baadhi ya wanaume wanahusudu sana.
 
Back
Top Bottom