Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Kama hajakuomba wewe Basi jua anakuheshimu na anakupenda hataki kukufumua marinda kwa maslah mapana ya familia yake.

Hao michepuko Hana maslahi nao,
Wanafyonza pesa zake, dawaYao Ni kuwafumua mpk marinda kufidia thaman halisi ya mizinga anayopigwa wajue ukitaka kula lazima uliwe.

Much respect kwa mumeo[emoji120]
Asanteee! Zilongwa mbali, zitendwa mbali
 
Kama anataka, we mpee tu....ili asihangaike hangaike kwenda mbali........na mali uko nayo hapo jirani....kitu umepewa bure unabania ya nini!..
..
..
 
Mume wake awe antuma meseji kwenye simu kuomba wakati wanalala pamoja? Kwamb anashindwa kumwomba wakiwa pamoja? Ndio maana siamini. Labda sio mume wake basi, anatuzuga tu hapa kutaka kujua maoni ya watu kama aendelee kutoa au asiendelee. Kwa sababu kutokana na maoni yake alishatoa
Nafikiri ujaelewa, yaan ni anakuta msg anazowasliana nafikiri na wanawake zake wa nje kuomba ama kusifia huduma ya mtaro😔😔
 
hata uandishi wako tu unaonekana ni yale madada mashambenga yaliyoshndikana. Nina uhakika marinda huna yan uhakika kbs ushahidi ninao, mnuka papa wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji374][emoji373][emoji2923] naona comrade unapiga spana
 
Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Sasa yeye huko kwenye mapenzi ya jinsia moja ni mke au anaendelea kuwa mume? Isije ikawa anajidai ni mume kumbe naye ni mke wa mtu
 
Sio mara ya kwanza ndugu. Niliwahi kumkamata na sms za kumuomba mwanamke hiyo kitu nikashangaa na kumsema sana lakini ameendelea inaniuma sanaa
...Mradi anakuheshimu wewe na hajakuomba, basi mwache alikuwa Ataacha!
 
Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Umetumia kipimo gani kugundua?
 
Back
Top Bottom