Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Nimegundua mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile na mwanamke mwingine

Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Wacha wivu wa kishamba
 
Umesema sahihi kabisa.
Usiwasemee,, moyo ni kichaka, Kuta na paa ndizo zinajua nini kinafanyika humo ndani,, hawafanyi ndani sababu wanaogopa kuwaanza wake zao,, watalipokeaje! Watakataa watatangazwa ama kuvunja amani ndani,, lakini si kwamba eti wanawapenda,
 
Kama hajakuomba wewe Basi jua anakuheshimu na anakupenda hataki kukufumua marinda kwa maslah mapana ya familia yake.

Hao michepuko Hana maslahi nao,
Wanafyonza pesa zake, dawaYao Ni kuwafumua mpk marinda kufidia thaman halisi ya mizinga anayopigwa wajue ukitaka kula lazima uliwe.

Much respect kwa mumeo[emoji120]
[emoji28][emoji28] Ujumbe umekaa kitaribani sana!
Mkuu, hivi Majay Tigo huwa yupo? Marinda yake huwa unayaacha salama kweli!!!?
 
Habari,

Nimegundua kuwa mume wangu anafanya mapenzi kinyume na maumbile. Najiskia vibaya na siko tayari kushiriki naye tendo la ndoa kwa kuhofia magonjwa na najiskia kinyaa pia.

Naombeni mnishauri, ushauri wa kujenga tafadhali siyo kejeli.

Asanteni.
Fungua shauri la talaka na utapata mwanaume asiyependa hayo mambo na utafurahia ndoa
 
Kwanza hawezi kuacha, pili maamuzi yapo kwako umvumilie au uachane nae.
 
Fungua shauri la talaka na utapata mwanaume asiyependa hayo mambo na utafurahia ndoa
Mnamdanganya mchana kweupee,, km ye haombwi atulie tu, akitoka huko nje kumejaa mafirauni watamfira Kwa hadaa ya kumuoa hadi kundu lipwelepwete, Dunia tuliyomo haina huruma,, tena nyie wanaume yeleuwiiiiiii,,,
 
Back
Top Bottom