LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
umeongea point, issue sio laki, issue ni anashindwa kuvaa viatu vya jamaa kwa wakati huo, anashindwa kuelewa kuwa wakaka sikuhizi hawaoi, anashindwa kuelewa kuwa kuna maisha baada ya ndoa na huu ni mda wao wa kujipanga. Anawaza tu jinsi atakavyopendeza na kuringishia wenzake, alafu wakiingia ndani wawe na madeni, waanze kuzozana kila siku.Ishu apa sio laki,ni iyo tabia ambayo kimsing ni alerting,jamaa inabid aajitathmini sana,mm nilishawah kufanya maamuz magum bado wik kadhaa kufikia ndoa maana niliona kabisa tunaenda kushindwana mwez wa kwanza .
Cha msingi ni akae naye chini na waonge kiutu uzima.
Huyo dada inaelekea anawaza sherehe rather than kufikiria future yake na jamaa.