Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.. mnunulie mbona 100k ni ndogo sana kwa nguo ya tukio kama hilo mkuu hapo utakuwa umemkosea bora mahali sio lazima utoe yote kwanza.. kwa kifupi tumia busaraKisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia
Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu kumuelezea hali halisi anaonekana hanielewi
Hapa nilipo nawaza kweli huko mbeleni hali itakuweje?
Mkuu uliolewa kwa harusi...??...Bora ungeoa kawaida,hiz harusi ni laana tupu ndoa hazidumu
Dah na mm natafuta mke, unaonekana wewe ni wife material kabisaInatokeaga pale mwanaume unapokua una pretend maisha . Kipindi mandate yawezekana ulijimwambafy sana na kumpa hela hovyo akajijengea kwamba zimo ndio maana saivi haelewi somi.
Ila mwanamke anaejitambua na kuelewa gharama nyingi mwanaume anapobeba kipindi cha engagement hadi ndoa hakupaswa kununa yani kwa kifupi hakupaswa hata kuku stress alitakiwa akupemoyo na ku appreciate unachofanya )ikibidi aku support...badala yake anaenda kuchukua kitu kwa gharama ambazo anajua hawezi!
Nawatakia kila la kheri.
Noma sana!Intro bado ngoma kamili, ...
Kweli kabisa. Kwa bahati mbaya ukianza na mguu huo kwenye mahusiano, itabidi uhakikishe una maintain sana huo uwezo uliouonesha, ili usionekane ulikuwa unaji mwambafy. Ndio hapo unaanza kuingia katika mikopo mikubwa mikubwa (mikopo umiza) ili kumridhisha binti wa watuInatokeaga pale mwanaume unapokua una pretend maisha . Kipindi mandate yawezekana ulijimwambafy sana na kumpa hela hovyo akajijengea kwamba zimo ndio maana saivi haelewi somi.
Ila mwanamke anaejitambua na kuelewa gharama nyingi mwanaume anapobeba kipindi cha engagement hadi ndoa hakupaswa kununa yani kwa kifupi hakupaswa hata kuku stress alitakiwa akupemoyo na ku appreciate unachofanya )ikibidi aku support...badala yake anaenda kuchukua kitu kwa gharama ambazo anajua hawezi!
Nawatakia kila la kheri.
NdiyoMkuu uliolewa kwa harusi...??...
Inaonekana una Mengi sana ya kuzungumza,,,, hadi unaita Harusi ni Laana....Ndiyo
Sumbai acha ujinga elewa anachosema huyu mdau. Inavyoonyesha mke mtarajiwa ana akili ndogo jambo ambalo anahofia kuwa migogoro ndani haitakomaKama unampenda nenda kakope lipia gauni oa weka ndani
Ukisikilza ushauri wa hapa utaacha kuoa kisa laki moja
Hakuna mwanamke asiye na changamoto, zinatofautiana. wapo ambao ukiwahi kurudi nyumbani wanakasirikaKisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia
Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu kumuelezea hali halisi anaonekana hanielewi
Hapa nilipo nawaza kweli huko mbeleni hali itakuweje?
Inshu siyo kwamba Hana hiyo laki moja au laki Moja ni kubwa. Inshu kasema kamtest mwanamke KUJIFANYA Hana lakini kanuna vibaya mno.Unamaanisha laki 1 Au milioni 1!??. Coz laki 1 kwa nguo ya special day ya engagement yake it's just little money unless Kama ulikuwa tu huna mpango nae tangu mwanzo.
Inmradi umfurahishe yeye,wewe ubaki na maumivu.
Mtoa mada fata ushauri wa Bata batani
Sogeza tarehe mbele kama miaka miwili au mitatu Kwa ajiri ya kutafuta laki Moja.