Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

Pole sana.

Mungu akutangulie kwenye maamuzi yako
 
Hapo unajiandaa kwa majuto makubwa mbeleni.....
 
Gaun la laki [emoji848][emoji119] uyu jiandae kupikiwa pizza ukimleta ndani na sandwich hongera umepata super woman[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu.. mnunulie mbona 100k ni ndogo sana kwa nguo ya tukio kama hilo mkuu hapo utakuwa umemkosea bora mahali sio lazima utoe yote kwanza.. kwa kifupi tumia busara

Hakuna mwanamke ambae hana mapungufu.. mradi asiwe mchepukaji na mchawi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila wenzetu nyie ndoa zenu ni gharama sana mpaka ndoa ikiisha madeni kibao.
 
Dah na mm natafuta mke, unaonekana wewe ni wife material kabisa
 
Kweli kabisa. Kwa bahati mbaya ukianza na mguu huo kwenye mahusiano, itabidi uhakikishe una maintain sana huo uwezo uliouonesha, ili usionekane ulikuwa unaji mwambafy. Ndio hapo unaanza kuingia katika mikopo mikubwa mikubwa (mikopo umiza) ili kumridhisha binti wa watu
 
Mimi tulikuwa tunachat akawa anajibu kama hataki anachelewa yani nikama nilikuwa namlazimisha ikabidi nimwambie yaani nikama najikomba. Tangu juzi ameninunia na simu haipatikani.
 
Kama unampenda nenda kakope lipia gauni oa weka ndani

Ukisikilza ushauri wa hapa utaacha kuoa kisa laki moja
Sumbai acha ujinga elewa anachosema huyu mdau. Inavyoonyesha mke mtarajiwa ana akili ndogo jambo ambalo anahofia kuwa migogoro ndani haitakoma
 
Hakuna mwanamke asiye na changamoto, zinatofautiana. wapo ambao ukiwahi kurudi nyumbani wanakasirika
 
Simamia hapohapo

Ukilegeza tu ndiyo mwanzo wa kupelekeshwa.

Kifuatacho ni gauni la 1.8m na usiponunua ananuna.

Ukishamuoa sasa... utakuwa hupati haki ya ndoa pale ambapo hujamfanyia anachotaka

Maana yake utakuwa mtumwa wa ndoa na mahusiano.

Mungu amekujaalia kumjua mwenza wako mapema; kuwa na msimamo na ujipe muda tena wa kutafakari kuendelea au kutoendelea mpk pale utakapojiridhisha kuwa virus hizo alizonazo sasa zimeondoka (akili imekua)
 
Unamaanisha laki 1 Au milioni 1!??. Coz laki 1 kwa nguo ya special day ya engagement yake it's just little money unless Kama ulikuwa tu huna mpango nae tangu mwanzo.
 
Unamaanisha laki 1 Au milioni 1!??. Coz laki 1 kwa nguo ya special day ya engagement yake it's just little money unless Kama ulikuwa tu huna mpango nae tangu mwanzo.
Inshu siyo kwamba Hana hiyo laki moja au laki Moja ni kubwa. Inshu kasema kamtest mwanamke KUJIFANYA Hana lakini kanuna vibaya mno.

Ndo hapo Sasa,vipi wakiwa ndani ya ndoa maana maisha ni kupanda na kushuka. Mwanamke akimuomba kitu mwanaume, na mwanaume Hana si ndo atakapo ona rangi rangi ??

Ndo maana kichwa Cha Uzi kina sema hawatawezeana. Na kweli hawatawezeana Kwa alicho kionesha mwanamke.
 
Dah.....yaani laki tu ndiyo inakufanya uchachawe? Kwanza amefanya heshima kukuomba hiyo laki....angeweza kutafuta mwenyewe...Mwamba tafuta hela Dem afurahi ....ndiyo uanaume huo banaa..... 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inmradi umfurahishe yeye,wewe ubaki na maumivu.

Mtoa mada fata ushauri wa Bata batani
Sogeza tarehe mbele kama miaka miwili au mitatu Kwa ajiri ya kutafuta laki Moja.

Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…