Ndiyo uhalisia wa watu wengi hasa wanaume ambao wengine wanapambana na changamoto za maisha na zile za afya ya akili na hawana pa kusemea.Hivi kwanini mods wana entertain hizi mada. Haya mambo imagine mtu mwingine anasoma na hujui anapitia changamoto gani mwisho wa siku ataona kama kuna mwingine anapitia na solution ndio kama hivi hataona shida kufanya maamuzi ya ajabu. Haya mambo yataanza kuonekana ya kawaida hatujui tunategemea jamii ya namna gani.
Moderator Tafadhali msipuuzie haya.
Hamna faraja kila siku ni mitihabi mipyaPole sana, maisha yana mitihani migumu.
I hope unapata faraja kutoka kwa wanaokuzunguka.
Watu waache kuzaa , binadamu wanalazimisha furaha ila bora kufa ukapumzikeHaya mambo imagine mtu mwingine anasoma na hujui anapitia changamoto gani mwisho wa siku ataona kama kuna mwingine anapitia na solution ndio kama hivi hataona shida kufanya maamuzi ya ajabu. Haya mambo yataanza kuonekana ya kawaida hatujui tunategemea jamii ya namna gani.
Hamna faraja kila siku ni mitihabi mipya
Maisha ni ujinga mtupu.Naona sana replies zako kwenye nyuzi, unaandika kama mtu amabye amechoshwa na maisha.
Pole sana kwa mitihani unayopitia!
View attachment 3281588