People are now so soft. Mnavyoya entertain haya mambo ndio mnazidi ku create a very weak mens. Yan mtu akipata changamoto afikirie mara kujiua, sijui kukata tamaaNdiyo uhalisia wa watu wengi hasa wanaume ambao wengine wanapambana na changamoto za maisha na zile za afya ya akili na hawana pa kusemea.
Acha waziseme hisia zao, hii tabia ya kuwapangia wengine kipi cha kusema na kipi wasiseme siyo poa!
Soma pia:
![]()
Sehemu salama ya mwanaume ni wapi?
Afya ya akili kwa wanaume imekua tatizo linalokua kwa kasi sana na kusababisha matatizo na majanga ambayo tumekua tukiyasikia kila siku. Naomba kuuliza wanaume mliopo JF: Huwa unazungumza na nani kuhusu matatizo au changamoto binafsi ulizonazo? Je ukikwama kikazi, kibiashara, kimahusiano...www.jamiiforums.com
Mkuu haya maisha haya acha tu unaweza kuishi unaujauzito kumbe wewe ni wakiume acha kabisaHuyo Nikifa MkeWangu Asiolewe mwenyewe pamoja na hela zake zote na kabandika maharage muda huu
Saidien vijana hawa hawana mipangoMkuu haya maisha haya acha tu unaweza kuishi unaujauzito kumbe wewe ni wakiume acha kabisa
Mkuu Mimi mwenyew hapa tia maji tia maji tu tuombeane mkuuSaidien vijana hawa hawana mipango
Futa hii reply mkuu neno lisisomeke kabisaRekebisha hii reply
Asee vijana hali mbaya sana, although sijui utayari wao na uthubutu walio nao ni wa kias gan. Mana wakijitoa faham kwa Nje ya mipaka fursa zipo. Kwa kuanzia unguja itawafaaMkuu Mimi mwenyew hapa tia maji tia maji tu tuombeane mkuu
Nilishuhudia maisha ya amani na furaha kwa wanakijiji...yalinibadilisha sanaRudi kijijini ndugu kama hupo mjini utaumia.
Kuna watu wapo vijijini wanaishi kwa furahaa japo wakikwambia ugumu wao wa maisha utaona una matumaini
Kuna changamoto nyingine ukibadilisha mazingira zinapungua ugali wake unapungua. Badili mazingira mkuuChampion popote ulipo Amani iwe nawe.
Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika.
Kupitia maumivu nimeyatambua haya:
1: Ukiwa hapa Duniani, Ukiwa umepigika jua hiyo ndo jehanamu yako, achana na story za kuna siku utafufuliwa uchomwe moto au kwenda peponi.
2: Kama Mungu yupo, basi nayeye kuna vitu anakua anatamani kuvifanya kwako mwanadamu ila anashindwa.
3: Kuna muda kila kitu utakifanya kwa usahihi na uangalifu lakini bado utafeli.
4: Nimetambua ninapambana vita ambayo wazazi wangu hawakuishinda. Na hapo ndipo ninapokumbuka hata na wao walikua na ndoto but what happened?? Najishangaa ndoto yangu taratibu inabadilika kutoka kuwa mguso wa jamii na sasa kuwa mguso wa kaya!! what a downfall.
5: Wakati wako wa kupigika ukifika acha kutafuta faraja, Maumivu makali ndio yatakunausua hapo ulipo.
Disappointed but not surprised!!
Ukweli wengi wetu hatutaki kazi nzito.wanapenda kazi za ofisini ukiwashauri hapa wanakuona una wakashifu vile wewe umejipata kumbe wapi njaa tupuAsee vijana hali mbaya sana, although sijui utayari wao na uthubutu walio nao ni wa kias gan. Mana wakijitoa faham kwa Nje ya mipaka fursa zipo. Kwa kuanzia unguja itawafaa