Nimegundua nipo kwenye level ya mwisho kabisa ya Maumivu

People are now so soft. Mnavyoya entertain haya mambo ndio mnazidi ku create a very weak mens. Yan mtu akipata changamoto afikirie mara kujiua, sijui kukata tamaa
 
Rudi kijijini ndugu kama hupo mjini utaumia.
Kuna watu wapo vijijini wanaishi kwa furahaa japo wakikwambia ugumu wao wa maisha utaona una matumaini
Nilishuhudia maisha ya amani na furaha kwa wanakijiji...yalinibadilisha sana
 
Kuna changamoto nyingine ukibadilisha mazingira zinapungua ugali wake unapungua. Badili mazingira mkuu
 
Asee vijana hali mbaya sana, although sijui utayari wao na uthubutu walio nao ni wa kias gan. Mana wakijitoa faham kwa Nje ya mipaka fursa zipo. Kwa kuanzia unguja itawafaa
Ukweli wengi wetu hatutaki kazi nzito.wanapenda kazi za ofisini ukiwashauri hapa wanakuona una wakashifu vile wewe umejipata kumbe wapi njaa tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…