Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Mimi naamini wachawi na waganga hawafanyi hiyo kazi kwa hiari yao. kuna namna fulani wanalazimishwa na kuambiwa wasitoe siri
Kuna ndugu yangu mmoja, hakuwa tayari kupokea mikoba ya uganga. kilitokea kimbunga kikabomoa mji wako wote, na akaambia next action ni yeye kuuawa
ikabidi asalim amri
@Juniormshana atatusaidia ufafanuzi hapa
Halikadhalika wachawi ni hivyo hivyo