Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Njoo tulime huku mkuu. msimu mmoja tu unashibaSijawahi kuwa na kipindi cha shibe katika maisha yangu.
Nyakati zote za maisha yangu ni nyakati mbovu.
Utajui huko na baba ako shetani 😂😂Sijawahi kuwa na kipindi cha shibe katika maisha yangu.
Nyakati zote za maisha yangu ni nyakati mbovu.
Afande selle umeanza yale maruweruwe yako ya mabange!Mungu na Shetani ingekuwa ni watu au viumbe fulani wanaoishi, mimi bila kulazimishwa ningeenda kukaa na Shetani.
Mimi sioni kama Mungu au Shetani wapo.
Umeelewa mada?Mimi naamini wachawi na waganga hawafanyi hiyo kazi kwa hiari yao. kuna namna fulani wanalazimishwa na kuambiwa wasitoe siri
Kuna ndugu yangu mmoja, hakuwa tayari kupokea mikoba ya uganga. kilitokea kimbunga kikabomoa mji wako wote, na akaambia next action ni yeye kuuawa
ikabidi asalim amri
@Juniormshana atatusaidia ufafanuzi hapa
Halikadhalika wachawi ni hivyo hivyo
Saaaaaaaaf kabisa mkuu! Good point!Shetani anayewatesa watu, siyo shetani aliyeumbwa na Mungu. Shetani anayewatesa wapendwa wengi, ni shetani aliyepewa nguvu na Akili yako. Kwa sababu, shetani aliyeumbwa na Mungu amefungwa kuzimu...!!
Shetani yupi kafungwa kuzimu mkuu 🤣 🤣 tupe andikoShetani anayewatesa watu, siyo shetani aliyeumbwa na Mungu. Shetani anayewatesa wapendwa wengi, ni shetani aliyepewa nguvu na Akili yako. Kwa sababu, shetani aliyeumbwa na Mungu amefungwa kuzimu...!!
Hivi simba akiunguruma akiwa huko mbungani si ndo alikofungwa!...akiunguruma akiwa mbugani siyo neno!Shetani yupi kafungwa kuzimu mkuu 🤣 🤣 tupe andiko
1 Petro 5:8
Mwe na kiasi na kukesha; kwa kuwa mshitaki wenu Ibilisi, kama simba angurumaye, huzunguka-zunguka, akitafuta mtu ammeze.
Shida yangu Ni kujua sababu za juhudi ya kuchagua kuishi na shetaniMungu na Shetani ingekuwa ni watu au viumbe fulani wanaoishi, mimi bila kulazimishwa ningeenda kukaa na Shetani.
Mimi sioni kama Mungu au Shetani wapo.
Ni fikra tu za mtu ndiyo huendesha maisha yake na wala siyo Mungu wala Shetani.
Wewe umekuja na mada yako!Unayesema Mungu hayupo umeshajiuliza umetoka wapi? Nani aliyekupa akili za kufikiri mpaka ukachangia huu uzi?
Shetani hana mda huo!Nnavo jua shetani anatumia watu, yeyote atakayempa nafasi anamtumia
Sijawahi kuwa na kipindi cha shibe katika maisha yangu.
Nyakati zote za maisha yangu ni nyakati mbovu.
Hapo kwenye progress sijaelewaShetani ni roho.
Mwanzoni alikua malaika kule mbinguni kabla hajafanya UASI kama wa JKT.
Alikua top leader na mwimbaji mkuu kule mbinguni.
By then alikua ana form ya roho ,akiwa malaika mtiifu na alikua anafahamika kama LUCIFER.
Alivyoleta uasi akasapotiwa na 1/4 ya malaika wengine, wote wakapewa adhabu ya kushushwa huku ulimwenguni toka mbinguni wakiwa na form ya roho.
Mm na ww tulikubaliana na plan ya MUNGU na hatukukubaliana na uasi wa shetani so hatukushushwa bila mwili.
Tulizawadiwa mwili na tukawekewa utaratibu wa kuzaliwa duniani kupitia mama zetu.
Kupitia mwili leo tunatimiza mpango wa MUNGU na kupitia huu mwili tutakua watimilifu (perfected with perfect body),mwili usiokufa.
Shetani na wale robo hawana mwili,hence hawana progress zozote kilichobaki wanatushawishi sisi wenye miili tuharibu miili yetu maana wanajua miili ni tool' kubwa kwenye progress.
Angalia ,Shetani anakushawishi uudunge mwili madawa ya kulevya,uuchore tattoo,uvishe mwili nguo fupi,uufanyie umalaya mwili ukajiuze ,etc
Nitaendelea kukiwa na swali.