Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji
Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.
Zaidi yeye mwanaume ndo anayeumia nakuandika vijembe kwenye mitandao yake ya kijamii me namchora tu. Akiona nimepost picha yangu na yeye muda huohuo atampost picha za mwanamke😃.
Ni hayo tu kwa Leo.