Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Nyie wadada mbona kuwaelewa simple sana, mimi nikimuomba mdada tukutane mahali fulani, mda fulani, (sio sex) akinizungusha au akikataa, automatically ntajua Hanipendi sababu hajavutiwa na muonekano wangu, hivyo, nasepa chap KapeaceMwanamke anaejua janja janja za wanaume na jinsi ya kukabiliana nazo, au kuzipangua basi ujue huyo kashakwepa mishale mingi sana