Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

Kwisha habari[emoji41]
IMG-20220621-WA0007.jpg
 
Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji

Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.

Zaidi yeye mwanaume ndo anayeumia nakuandika vijembe kwenye mitandao yake ya kijamii me namchora tu. Akiona nimepost picha yangu na yeye muda huohuo atampost picha za mwanamke😃.

Ni hayo tu kwa Leo.
Fanya basi tuchukue hiyo miezi 3, then tuone kipi kitafwata
 
Hii inawezekana vipi asee?? 2yrs?? Kuna me wenzangu wanaweza hili??.
Mimi hapana asee[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake ni kwenda nao hivyo hivyo, speed ya kanyaga twende!

Unakuwa unapretend tu, lakini muda nae unakuwa huna, mwisho atakuamini, atakuachia mbususu, unachakata, unamweka kwenye dustbin!

Mmoja wao nilipretend kuwa nae 4yrs, akaamini namuoa, nikamchakata kwa hasira zote, nikakitafuta kile kibinti nilichokichakata siku ya sita baada ya mahusiano, kikawa kipenzi changu hadi leo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji16] hayanaga mkao kwanza... Ukipendana nae we toa tuu hata kama ni siku ya 3, mola akijaalia kuwa mke na Mume mtakuwa tu, mkiachana bs shukuru Mungu, kaa subiri mwengine...

Ww kinachotakiwa ni kutoweka expectations tu. After 2 months waanza sema ww ndo Mume wangu, ww ndo Kila kitu kwangu, siwezi ishi bila ww , [emoji23][emoji23]. Utakufa kibudu. Yakikufata ww jipe rahaa, alimradi tu kuwa muangalifu basi, si Kila mtu wampa. Utamaliza Dunia usipoangalia..

Wapo WAVUMILIVU atakusubiri mpaka ndoa,,, lakini tambua kuwa kwako ni mwaminifu,, nje anapata. Na atakuoa vile vile kama amekupendea muonekano na tabia yako. Wanaume wanaoa si sex tu, huwa Kuna vitu vyao wanaviangalia,,, jipe Raha ukiwa kwenye mahusiano, kama akiondoka ni ameondoka, futa machozi nyanyuka tafuta mwengine. Ishi bila expectations kubwa Toka kwa huyo mwanaume,, utayashinda

NB. Mpaka Leo hakuna aliyefanikiwa kuwajua wanawake, Wala kuwajua wanaume. Wote ni hatujuani. Mapenzi hayatabiriki. [emoji2218][emoji2218][emoji188]
 
Kwahyo mkuu ulikataa kunifundisha vipindi vya Bible piemu mkuu ?

Tukisema tuokoke mnatukatisha tamaa hamtushiki mkono
 
Mapenzi bana yani kuna kipindi nilikua nahangaika na dem hanielewi muda huo namimi kuna dem ananihangaikia simuelewi
 
Kuna Tofauti kubwa kati ya Mahusiano na Maisha...Siku Tukilijua hili Yataisha yote haya!!!
 
Unaweza kufanywa wa akiba tu dada... mtu anaweza akakuvumilia hata mwaka ila siku ukimpanulia tu mapaja kesho yake anakuachia manyoya anaendelea na demu wake anayempenda. Wanaume hatushindwi kuuza ng'ombe kwa kesi ya kuku.

Handel with care. 🤫
 
Kwa akili zako unadhani mnaweza kutuzidi sisi akili[emoji1787][emoji1787]NYIE MKIWAZA HIVYO SI TUNAKUJA KUJITAMBULISHA KABISA KWA MAMA AKO ILI TUWALE TU THEN TUNASEPA.
 
Mapenzi hayana formula, sio kila njia itafanya kazi kwa wote
 
Wadada usithubutu kukutana na mwanaume ambaye mmeanza Naye mahusiano , at least chukua muda wa miezi zaidi ya mitatu au minne umsome kwanza kama Yuko serious au mpitaji

Yaani nimegundua ukiachana na mwanaume ambae hukuwah kukutana Naye kimwili, hutapata maumivu kama ambavyo uachane na mwanaume ambaye mmeshakutana kimwili.

Zaidi yeye mwanaume ndo anayeumia nakuandika vijembe kwenye mitandao yake ya kijamii me namchora tu. Akiona nimepost picha yangu na yeye muda huohuo atampost picha za mwanamke😃.

Ni hayo tu kwa Leo.
 
Back
Top Bottom